Eti kuotea unajifariji MATAGA pole Sana ndio yanatokea Sasa Kwani si alitabiri mwendakuzimu asipoacha dhuruma atakufa haya Leo Kiko wapi Kwa mchato na jeuri yake ya umungumtu?
Unaweweseka ewe Mgelasi uliezamia Korintho!
[emoji16][emoji16][emoji16]
ushauri wako wa kijuha ambao hata wewe sidhani kama ungeuapply Yaani ufike zako America upate Makazi Bora halafu uwe na fikra za kurudi nchi ya kiwendawazimu kama bongomwendakuzimu amekufa,arejee sasa nyumbani[emoji28][emoji28]
maana amejipa cheo cha kuhukumu watu vifo wakati nayeye anaogopa kufa!!!!
Ni kesi ya ugaidi, ila ni karma ya kula posho na ruzuku.
ushauri wako wa kijuha ambao hata wewe sidhani kama ungeuapply Yaani ufike zako America upate Makazi Bora halafu uwe na fikra za kurudi nchi ya kiwendawazimu kama bongo
Hahahahahaha be serious dude hata ningekua Mimi sithubutu hata!
SawaHahahah hamtoacha kuweweseka mpaka mnaingia kaburini
Jiululu ndio nini? Elimu, elimu elimusasa inakuaje tena unafungua thread kujadili wapinzani amabo wewe mwenyewe unasema hawapo??
Basha ako amejiululu baada ya kuzalilishwa na mwenyekiti wako wa CCM alafu unalizimisha wapinzani walie kwenye msiba wenu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
EMbu rudia kuisoma hii uliyoiandika wakati ulee.. Halafu fananisha na yanayotokea sasaKama Mungu anayemsema hana ubaguzi basi ataanza na Mwenyekiti Mbowe kwa dhuluma ya posho na mishahara ya wabunge wa CHADEMA lijua likali alishasema yote
Wabunge 19 wa CHADEMA wapo pale kwa kanuni na taratibu, ikiwa sio hivyo CHADEMA waende mahakamani. Lema alipata division ngapi kidato nne? Maana..
mkorinto sema suu..!!!ndipo akili za chadema zilipofikia hapa.
tukisema hamna upinzani bali genge la wahuni nchini mnang'aka.
anajivika jukumu la kuwa mshitaki mbele za Mungu ili!!!!
Nabii Mswahili kama kawaida yake.
Ndivyo inavyokuwa.huyu Mungu akiupiga kwenu mnasema ni mipango yake,ila kwa akina ndugai inakuwa ni adhabu ya maovu yao.
Mchuma jangaUjinga mtupu kila binadamu atakufa
Kama uganga wenyewe ndio huu na mimi nautaka.Chadema wamegeuka kuwa waganga wa kienyeji!
Mungu anaanza na wale Extremes. Alivyoichoma Sodoma na Gomora sio kwamba kwingine walikuwa hawatendi dhambiMungu hafanyi kazi hivyo basi dunia binadamu wote wangeisha maana kila aliwazalo mwanadamu ni uovu
Jiululu ndio nini? Elimu, elimu eli
Kwani wewe kuna neno gani la kiswahili la "ndio" acha ujuaji wa kijinga.Jiululu ndio nini? Elimu, elimu elimu
Umekula mchana lakini?Kwa
Kwani wewe kuna neno gani la kiswahili la "ndio" acha ujuaji wa kijinga.
πππ na lile bichwa lake kama korosho, sipati picha funza wanavyolishambulia.Na hii[emoji116]pia ni karma. View attachment 2071958