Godbless Lema anaweza akawa mmoja wa manabii wakubwa kwa sasa ndani ya Taifa

Godbless Lema anaweza akawa mmoja wa manabii wakubwa kwa sasa ndani ya Taifa

Mbona sasa hivi kuna kasi kubwa ya watu kuanzisha mada zenye mafumbo mafumbo humu JF? Kuna kitu gani kinaendelea huko Tanganyika?
Kuna watu wazito wazito humu Jf wameandika kwa mafumbo to mention fews..
Bratanicca
Tumaini El
Today's
Yoga
Gentamicine
Tukana uone
Mshana jr.
 
Mnaharibu lugha za watu. Km ulikimbia somo bora ubaki kimya. Mwenzio kasema ARROGANT na Yuko sahihi kabisa. Nyie mnasema ARROGANCE. Jifunzeni tofauti ya haya maneno kwa matumizi yake bila kukosoa kabla ya kujifunza.
Mkuu, embu fanya msaada wa kuwaelezea tofauti yake.

KNOWLEDGE IS POWER.
 
Lema huenda akaingia katika moja ya vitabu vya kumbukumbu kutokana na michango yake yenye kuwa na ukamilifu mkubwa baada ya kutabiri.

Alitabiri vifo vya wakubwa na vikatokea

Ametabiri watu kufungwa na kweli wakafungwa.

Siku za karibuni amesema wanaotaka kumuua wamuue ila hato kimbia taifa lake. Ametabiri mambo mazito sana ambayo huwenda yakatimia 2023 to 2025

Lema ni Nostradamus wa Tanzania

PIA SOMA
- Je, ndoto za Godbless Lema ni utabiri au sayansi ya uchawi katika siasa?
Mh Lema Shikamoo
 
Anabahatisha tuu
 
Back
Top Bottom