Godbless Lema anaweza akawa mmoja wa manabii wakubwa kwa sasa ndani ya Taifa

Godbless Lema anaweza akawa mmoja wa manabii wakubwa kwa sasa ndani ya Taifa

Mbona Ndugai yupo anadunda na alisema hawezi ishi?Lema mchumia tumbo amna cha Nabii angelikuwa Nabii chadema isingelikuwa hoi hivi.
Umesahau Mh Lema alitamka nn Bungeni mbele ya Mh Ndugai???
"Hawa wenye Mamlaka wakishatumaliza sisi wataanza kuwashughulikieni ninyi" Ndugai nani aliyemshughulikia kama sio hao hao wenye Mamlaka aliokuwa akiwatetea Bungeni??? Umesahau maneno ya Mh Nape baada ya March 17 2021?? " Mungu kaamua ugomvi" Alikuwa akigombana na nani??
 
Naweza kusema na mimi amenituma niseme wanaosema ni waongo.... Haya mambo ukiyafuatilia utaona kwamba kuna ka utapeli ndani yake...; Sababu kama amewachagua wao kwanini asinichague mimi, after all nina uhakika mengi aliyosema hayajatokea kuliko yaliyotokea
Eti nabii. Sijui umekula maharage ya wapi Leo wewe. Nabii wa nyumbani kwako labda.
 
Eti nabii. Sijui umekula maharage ya wapi Leo wewe. Nabii wa nyumbani kwako labda.
Unajua hata kusoma na kuelewa ? Unajua maana ya neno naweza kusema na maana yake ? Fahamu kwanza maana ya hayo maneno alafu urudi kunisoma upya
 
If something bad happens kwa Samia Jeshi LA nchi kama liko Serious lichukue nchi Hadi uchaguzi ujao, but lazima limuue Makamba na Nape
 
Nami namuuliza nabii ni lini Farao na chama chake cha nazi wanakufa
Pili ni lini hizi saccos zinazojiita vyama vya upinzani zinakufa?
 
Mbona Ndugai yupo anadunda na alisema hawezi ishi?Lema mchumia tumbo amna cha Nabii angelikuwa Nabii chadema isingelikuwa hoi hivi.
Kifo kina namna nyingi, kuna watu wanakufa kabla ya kufa kimwili. Ndugai kafa kisiasa, mpaka sasa ndoto zake kisiasa zimezikwa na wale aliokuwa anawalinda bungeni!
 
Lema huenda akaingia katika moja ya vitabu vya kumbukumbu kutokana na michango yake yenye kuwa na ukamilifu mkubwa baada ya kutabiri.

Alitabiri vifo vya wakubwa na vikatokea

Ametabiri watu kufungwa na kweli wakafungwa.

Siku za karibuni amesema wanaotaka kumuua wamuue ila hato kimbia taifa lake. Ametabiri mambo mazito sana ambayo huwenda yakatimia 2023 to 2025

Lema ni Nostradamus wa Tanzania

PIA SOMA
- Je, ndoto za Godbless Lema ni utabiri au sayansi ya uchawi katika siasa?
yaaani huyu chizi ndiyo awe nabii? kwakweli mmeishiwa akili sasa mnaanza kuwa machizio wote
 
Lema huenda akaingia katika moja ya vitabu vya kumbukumbu kutokana na michango yake yenye kuwa na ukamilifu mkubwa baada ya kutabiri.

Alitabiri vifo vya wakubwa na vikatokea

Ametabiri watu kufungwa na kweli wakafungwa.

Siku za karibuni amesema wanaotaka kumuua wamuue ila hato kimbia taifa lake. Ametabiri mambo mazito sana ambayo huwenda yakatimia 2023 to 2025

Lema ni Nostradamus wa Tanzania

PIA SOMA
- Je, ndoto za Godbless Lema ni utabiri au sayansi ya uchawi katika siasa?
Afungue Kanisa sasa aachane na siasa. Huko CCM imetamalaki!
 
Back
Top Bottom