Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Mkuu mihapase , sitatizwi kabisa na wanaodhani nimeishiwa busara, kwa ku support ujinga hivyo wananishusha daraja, kwa sababu mimi najijua.unaanza kuishiwa busara sasa na wewe unaunnga mkono ujinga kama huo kweli tulikuwaga tunakuona wa maana lakini sasa tunakushusha daraja
Majibu ya wa wazee wa busara. Vijana jifunzeni mambo kama haya. Jibu halina mihemko hata kidogo.Mkuu mihapase , sitatizwi kabisa na wanaodhani nimeishiwa busara, kwa ku support ujinga hivyo wananishusha daraja, kwa sababu mimi najijua.
P
Sijui mimi nikoje! Hata ukiandika "." , kwangu mimi, lazima nami niweke kituo, na kusoma! Huwa naheshimu sana maandishi / michango yako!Naunga mkono hoja
P
Kuna watu wazito wazito humu Jf wameandika kwa mafumbo to mention fews..Mbona sasa hivi kuna kasi kubwa ya watu kuanzisha mada zenye mafumbo mafumbo humu JF? Kuna kitu gani kinaendelea huko Tanganyika?
Mkuu, embu fanya msaada wa kuwaelezea tofauti yake.Mnaharibu lugha za watu. Km ulikimbia somo bora ubaki kimya. Mwenzio kasema ARROGANT na Yuko sahihi kabisa. Nyie mnasema ARROGANCE. Jifunzeni tofauti ya haya maneno kwa matumizi yake bila kukosoa kabla ya kujifunza.
Mh Lema ShikamooLema huenda akaingia katika moja ya vitabu vya kumbukumbu kutokana na michango yake yenye kuwa na ukamilifu mkubwa baada ya kutabiri.
Alitabiri vifo vya wakubwa na vikatokea
Ametabiri watu kufungwa na kweli wakafungwa.
Siku za karibuni amesema wanaotaka kumuua wamuue ila hato kimbia taifa lake. Ametabiri mambo mazito sana ambayo huwenda yakatimia 2023 to 2025
Lema ni Nostradamus wa Tanzania
PIA SOMA
- Je, ndoto za Godbless Lema ni utabiri au sayansi ya uchawi katika siasa?
Anabahatisha tuuLema huenda akaingia katika moja ya vitabu vya kumbukumbu kutokana na michango yake yenye kuwa na ukamilifu mkubwa baada ya kutabiri.
Alitabiri vifo vya wakubwa na vikatokea
Ametabiri watu kufungwa na kweli wakafungwa.
Siku za karibuni amesema wanaotaka kumuua wamuue ila hato kimbia taifa lake. Ametabiri mambo mazito sana ambayo huwenda yakatimia 2023 to 2025
Lema ni Nostradamus wa Tanzania
PIA SOMA
- Je, ndoto za Godbless Lema ni utabiri au sayansi ya uchawi katika siasa?
Funguka MkuuMh Lema Shikamoo