Pre GE2025 Godbless Lema anza mazoezi ya jinsi utakavyorudi Canada, ubunge umeota mbawa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Etwege

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2018
Posts
7,207
Reaction score
17,674
Combination ya Makonda, Gambo, Sabaya ni moto wa kuotea mbali Arusha na haitamwacha salama mwizi wa wa magari Godbless Lema.

Lema aanze tu mazoezi ya jinsi ya kutorokea Kenya tena kisha kwenda Canada alikoficha familia yake.

Hizi tuhuma za Lema kwamba Makonda ni muuwaji wengine huwa tunaziona kama ngonjera tu kwa sababu hajawahi kuthibitisha popote.

Kipindi cha awamu ya tano alikuwaga anasema amezuiwa na Magufuli kuthibitisha lkn sasa ni awamu ya sita na Magufuli hayupo duniani zaidi ya miaka mitatu sasa lkn hakuna ushahidi wowote kutolewa, ni ngonjera tu.

Wanyonge tunao nyanyaswa na matajiri na hatuna sehemu ya kusemea tuko pamoja na Makonda popote alipo. Nyie majizi ya kwenye system mnaodhani mmemkomoa Makonda ndiyo kwanza mmemwinua mbele yetu.
 
Inawalazimu wapiga kura wa Arusha Mjini kuhakikisha wanalinda kura zao kama walivyofanya mara ya kwanza Lema aliposhinda ubunge wake, bahati nzuri huu uteuzi wa Makonda naona umewaamsha wale jamaa, kulinda kura huwa sio waoga.

Najiuliza sijui Samia nae aliiona ile picha ya Lema aliyogoma kumpa mkono Makonda!.
 
Kwani maamuzi ya kuchagua mbunge ni ya bwana Lema au wakazi wa Arusha? Kama wakazi wa Arusha hawana haki ya kuchagua mbunge wamtakaye kuna haja gani ya kampeni pamoja na uchaguzi?
 
Combination ya Makonda, Gambo, Sabaya ni moto wa kuotea mbali Arusha na haitamwacha salama mwizi wa wa magari Godbless Lema.

Lema aanze tu tena mazoezi ya jinsi ya kutorokea kenya tena kisha kwenda Canada alikoficha familia yake.

Hizi tuhuma za Lema kwamba Makonda ni muuwaji wengine huwa tunaziona kama ngonjera tu kwa sababu hajawahi kuthibitisha popote.

Kipindi cha awamu ya tano alikuwaga anasema amezuiwa na Magufuli kuthibitisha lkn sasa ni awamu ya sita na Magufuli hayupo duniani zaidi ya miaka mitatu sasa lkn hakuna ushahidi wowote kutolewa, ni ngonjera tu.

Wanyonge tunao nyanyaswa na matajiri na hatuna sehemu ya kusemea tuko pamoja na Makonda popote alipo. Nyie majizi ya kwenye system mnaodhani mmemkomoa Makonda ndiyo kwanza mmemwinua mbele yetu.
Umeanza lini uhakimu mpaka kumuita mwanasiasa nguli "mwizi wa magari"? Alishawahi kukuibia lako pia?
 
Muda mwingine mtoa hoja acha upumbavu,Tanzania haina hati miliki ya ccm,na wote hao uliowataja wamehusishwa na ukatili wa kuua binadamu wenzao,time will tell kwa sasa mfumo hauruhusu kuwapeleka kwa court,nchi hii haisogei mbele kutokana na upumbavu kama huu wa mtoa hoja,hao wote uliowataja ni nini kipya watakuja nacho?kabla ya kutoa msukumo ili young guy's wapya waje kwenye systems na uwezo na mawazo mapya wewe bado upo kwenye ushenzi ule ule wa kuzungusha taka
 
Uchaguzi kuridhisha wazungu tu ,tonge liende mdomoni ila kwa chini tuna demokrasia zetu
Kama raia wamenyang'anywa haki ya kuchagua kiongozi wamtakaye,mleta mada anakosea kumkaanga Lema.The game is rigged in favour of the CCM,ndiyo maana hata ushiriki wa wananchi kwenye siasa umeshuka. Watu hawafuatilii bunge,taarifa za CAG nk,hawana hata imani na mahakama.
 
Combination ya Makonda, Gambo, Sabaya ni moto wa kuotea mbali Arusha na haitamwacha salama mwizi wa wa magari Godbless Lema.

Lema aanze tu tena mazoezi ya jinsi ya kutorokea kenya tena kisha kwenda Canada alikoficha familia yake.

Hizi tuhuma za Lema kwamba Makonda ni muuwaji wengine huwa tunaziona kama ngonjera tu kwa sababu hajawahi kuthibitisha popote.

Kipindi cha awamu ya tano alikuwaga anasema amezuiwa na Magufuli kuthibitisha lkn sasa ni awamu ya sita na Magufuli hayupo duniani zaidi ya miaka mitatu sasa lkn hakuna ushahidi wowote kutolewa, ni ngonjera tu.

Wanyonge tunao nyanyaswa na matajiri na hatuna sehemu ya kusemea tuko pamoja na Makonda popote alipo. Nyie majizi ya kwenye system mnaodhani mmemkomoa Makonda ndiyo kwanza mmemwinua mbele yetu.
Arusha ni tofauti na mikoa mingine ya Tanzania.
Akija kiaina ata ondoka hata kabla ya mwezi.
Hapa ni Arachug
 
Inawalazimu wapiga kura wa Arusha Mjini kuhakikisha wanalinda kura zao kama walivyofanya mara ya kwanza Lema aliposhinda ubunge wake, bahati nzuri huu uteuzi wa Makonda naona umewaamsha wale jamaa, kulinda kura huwa sio waoga.

Najiuliza sijui Samia nae aliiona ile picha ya Lema aliyogoma kumpa mkono Makonda!.
Mambo ni meengi mnoo...
Em ngoja tuonee..
 
Na akifika Canada atawaambia wapumbavu wenzake akina Erythrocyte kuwa wamchangie ili aitangazie ulimwengu mabaya ya awamu ya sita 😂 ili angalau apate pesa ya kula kama alivyofanya enzi zile za awamu ya tano.
 
Hii imeenda [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kwa hakika lema atafute kazi halali ya kufanya tu maana akiendelea na utapeli wake wa magari lazima adakwe haraka sana tena sana.
 
Back
Top Bottom