Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata iwapo akaingia sanduku la kura na chief wenu mupya hapo jimboni anambwaga mbaya😅Combination ya Makonda, Gambo, Sabaya ni moto wa kuotea mbali Arusha na haitamwacha salama mwizi wa wa magari Godbless Lema.
Lema aanze tu tena mazoezi ya jinsi ya kutorokea kenya tena kisha kwenda Canada alikoficha familia yake.
Hizi tuhuma za Lema kwamba Makonda ni muuwaji wengine huwa tunaziona kama ngonjera tu kwa sababu hajawahi kuthibitisha popote.
Kipindi cha awamu ya tano alikuwaga anasema amezuiwa na Magufuli kuthibitisha lkn sasa ni awamu ya sita na Magufuli hayupo duniani zaidi ya miaka mitatu sasa lkn hakuna ushahidi wowote kutolewa, ni ngonjera tu.
Wanyonge tunao nyanyaswa na matajiri na hatuna sehemu ya kusemea tuko pamoja na Makonda popote alipo. Nyie majizi ya kwenye system mnaodhani mmemkomoa Makonda ndiyo kwanza mmemwinua mbele yetu.
Hilo jitu masikini litapata wapi gari? Hata uwezo wa kumiliki baiskeli unaweza kuta hana.
Fuatilia mawazo yake utagundua
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Ebu iweke hapa hiyo pichaInawalazimu wapiga kura wa Arusha Mjini kuhakikisha wanalinda kura zao kama walivyofanya mara ya kwanza Lema aliposhinda ubunge wake, bahati nzuri huu uteuzi wa Makonda naona umewaamsha wale jamaa, kulinda kura huwa sio waoga.
Najiuliza sijui Samia nae aliiona ile picha ya Lema aliyogoma kumpa mkono Makonda!.
Mkusanyiko wa wahalifuCombination ya Makonda, Gambo, Sabaya ni moto wa kuotea mbali Arusha na haitamwacha salama mwizi wa wa magari Godbless Lema.
Lema aanze tu tena mazoezi ya jinsi ya kutorokea kenya tena kisha kwenda Canada alikoficha familia yake.
Hizi tuhuma za Lema kwamba Makonda ni muuwaji wengine huwa tunaziona kama ngonjera tu kwa sababu hajawahi kuthibitisha popote.
Kipindi cha awamu ya tano alikuwaga anasema amezuiwa na Magufuli kuthibitisha lkn sasa ni awamu ya sita na Magufuli hayupo duniani zaidi ya miaka mitatu sasa lkn hakuna ushahidi wowote kutolewa, ni ngonjera tu.
Wanyonge tunao nyanyaswa na matajiri na hatuna sehemu ya kusemea tuko pamoja na Makonda popote alipo. Nyie majizi ya kwenye system mnaodhani mmemkomoa Makonda ndiyo kwanza mmemwinua mbele yetu.
🤣🤣🤣 Lema ni mshamba na mtaalamu wa kubwabwajaCombination ya Makonda, Gambo, Sabaya ni moto wa kuotea mbali Arusha na haitamwacha salama mwizi wa wa magari Godbless Lema.
Lema aanze tu tena mazoezi ya jinsi ya kutorokea kenya tena kisha kwenda Canada alikoficha familia yake.
Hizi tuhuma za Lema kwamba Makonda ni muuwaji wengine huwa tunaziona kama ngonjera tu kwa sababu hajawahi kuthibitisha popote.
Kipindi cha awamu ya tano alikuwaga anasema amezuiwa na Magufuli kuthibitisha lkn sasa ni awamu ya sita na Magufuli hayupo duniani zaidi ya miaka mitatu sasa lkn hakuna ushahidi wowote kutolewa, ni ngonjera tu.
Wanyonge tunao nyanyaswa na matajiri na hatuna sehemu ya kusemea tuko pamoja na Makonda popote alipo. Nyie majizi ya kwenye system mnaodhani mmemkomoa Makonda ndiyo kwanza mmemwinua mbele yetu.
Hiyo imanKuna maisha ya kufa. Utalipwa kwa kila uletenda ktk dunia hii
Chief kama Lema ni mwizi kwanini polisi wanamucha mtaani? Wameshindwa kumshitaki toka akiwa mbunge mpaka leo akiwa raia wa kawaida?Tangu lini Arusha wakachagua mwizi?
Hivi huyo Lema amewahi kuogopa kiongozi yupi hapa Tanzania zaidi ya mwendazake ambaye hatuko naye?Lema ni kati ya viongozi wachache wa Chadema ambao wana ujasiri wa kumkabiri kiongozi yeyote mkorofi kwa courage ya hali ya juu without hesitation
Polisi gani? Kuna polisi Tanzania?Kama Makonda ni muuwaji kwa nini polisi wanamuacha?
Kama imani basi kimbia kifoHiyo iman
Au na wewe alikudinya bureCombination ya Makonda, Gambo, Sabaya ni moto wa kuotea mbali Arusha na haitamwacha salama mwizi wa wa magari Godbless Lema.