Pre GE2025 Godbless Lema anza mazoezi ya jinsi utakavyorudi Canada, ubunge umeota mbawa

Pre GE2025 Godbless Lema anza mazoezi ya jinsi utakavyorudi Canada, ubunge umeota mbawa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kwa nini mtoa mada humpendi Samia?
Huwa Naona unamsifu Magufuli kisha Makonda. Samia hujawahi.
Unatatizo la Ukabila?
Mkuu huyo ni sukuma gang, hapo alipo anaumia sana sema hana cha kufanya. Mbaya zaidi huwa haamini kama magu kashadanja na wala hatagombea tena. Umchafue, umsifie hana maajabu tena
 
Mkuu huyo ni sukuma gang, hapo alipo anaumia sana sema hana cha kufanya. Mbaya zaidi huwa haamini kama magu kashadanja na wala hatagombea tena. Umchafue, umsifie hana maajabu tena
Mwizi wa magari hatoboi Arusha
 
Inawalazimu wapiga kura wa Arusha Mjini kuhakikisha wanalinda kura zao kama walivyofanya mara ya kwanza Lema aliposhinda ubunge wake, bahati nzuri huu uteuzi wa Makonda naona umewaamsha wale jamaa, kulinda kura huwa sio waoga.

Najiuliza sijui Samia nae aliiona ile picha ya Lema aliyogoma kumpa mkono Makonda!.
Mama aliona ndio mana kampelekea moto.

Jamaayenu mjeuli na mjanja mjanjatu kichwani hamnakitu.

Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
 
Combination ya Makonda, Gambo, Sabaya ni moto wa kuotea mbali Arusha na haitamwacha salama mwizi wa wa magari Godbless Lema.

Lema aanze tu mazoezi ya jinsi ya kutorokea Kenya tena kisha kwenda Canada alikoficha familia yake.

Hizi tuhuma za Lema kwamba Makonda ni muuwaji wengine huwa tunaziona kama ngonjera tu kwa sababu hajawahi kuthibitisha popote.

Kipindi cha awamu ya tano alikuwaga anasema amezuiwa na Magufuli kuthibitisha lkn sasa ni awamu ya sita na Magufuli hayupo duniani zaidi ya miaka mitatu sasa lkn hakuna ushahidi wowote kutolewa, ni ngonjera tu.

Wanyonge tunao nyanyaswa na matajiri na hatuna sehemu ya kusemea tuko pamoja na Makonda popote alipo. Nyie majizi ya kwenye system mnaodhani mmemkomoa Makonda ndiyo kwanza mmemwinua mbele yetu.
Makonda ameenda chuo cha siasa, akimaliza salama hapo atakuwa amefuzu!
 
Wakati huu kuna watu wameamua liwalo na liwe, akumbuke hawezi kutumia tena polisi kama alivyofanya enzi za shetani Magufuli!

Uchaguzi wa madiwani juzi ccm imeshinda kata zote na nyumbu mpo mkikodoa macho tu
 
Back
Top Bottom