Ule ulikuwa uchaguzi au uteuzi?Uchaguzi wa madiwani juzi ccm imeshinda kata zote na nyumbu mpo mkikodoa macho tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ule ulikuwa uchaguzi au uteuzi?Uchaguzi wa madiwani juzi ccm imeshinda kata zote na nyumbu mpo mkikodoa macho tu
Una uwoga wa kikekike! Au wewe WAHIVYO maana hatujuani?! Anayeweza kudhulumu maisha ni rais alopewa haki isiyostahili na katiba isiyofaa!!Combination ya Makonda, Gambo, Sabaya ni moto wa kuotea mbali Arusha na haitamwacha salama mwizi wa wa magari Godbless Lema.
Lema aanze tu mazoezi ya jinsi ya kutorokea Kenya tena kisha kwenda Canada alikoficha familia yake.
Hizi tuhuma za Lema kwamba Makonda ni muuwaji wengine huwa tunaziona kama ngonjera tu kwa sababu hajawahi kuthibitisha popote.
Kipindi cha awamu ya tano alikuwaga anasema amezuiwa na Magufuli kuthibitisha lkn sasa ni awamu ya sita na Magufuli hayupo duniani zaidi ya miaka mitatu sasa lkn hakuna ushahidi wowote kutolewa, ni ngonjera tu.
Wanyonge tunao nyanyaswa na matajiri na hatuna sehemu ya kusemea tuko pamoja na Makonda popote alipo. Nyie majizi ya kwenye system mnaodhani mmemkomoa Makonda ndiyo kwanza mmemwinua mbele yetu.
Una uwoga wa kikekike! Au wewe WAHIVYO maana hatujuani?! Anayeweza kudhulumu maisha ni rais alopewa haki isiyostahili na katiba isiyofaa!!
Hawa wengine tunamudiana labda wangepata bakapu ya rais kitu ambayo kwasasa hakuna...hatuna mad man palejuu
Wewe umethibitisha alivyokuibia gari huyo Lema?Una kifaduro wewe.Combination ya Makonda, Gambo, Sabaya ni moto wa kuotea mbali Arusha na haitamwacha salama mwizi wa wa magari Godbless Lema.
Lema aanze tu mazoezi ya jinsi ya kutorokea Kenya tena kisha kwenda Canada alikoficha familia yake.
Hizi tuhuma za Lema kwamba Makonda ni muuwaji wengine huwa tunaziona kama ngonjera tu kwa sababu hajawahi kuthibitisha popote.
Kipindi cha awamu ya tano alikuwaga anasema amezuiwa na Magufuli kuthibitisha lkn sasa ni awamu ya sita na Magufuli hayupo duniani zaidi ya miaka mitatu sasa lkn hakuna ushahidi wowote kutolewa, ni ngonjera tu.
Wanyonge tunao nyanyaswa na matajiri na hatuna sehemu ya kusemea tuko pamoja na Makonda popote alipo. Nyie majizi ya kwenye system mnaodhani mmemkomoa Makonda ndiyo kwanza mmemwinua mbele yetu.
Anajulikana kwa uthibitisho upi?Weka uthibitisho kama ulivyomtetea shaitwain bin jinii mwenzako pale juu.Ni mwizi anajulikana
Safari hii sidhani atamkuta "mfukuza upepo" atakaye mpandisha kwenye pikipiki yake akiwa amevaa baibui na vipodozi vya amberluti.Lema aanze tu mazoezi ya jinsi ya kutorokea Kenya tena kisha kwenda Canada alikoficha familia yake.
Makonda ni wizi mtupu!🤓🤓😃
Wapambe wa dikteta uchwara wanatudanganya hapa eti zero brain amtishe Lema.Makonda ni wizi mtupu!🤓🤓😃
Kuna uwezekano wa yeye kutimuliwa hata huko CanadaCombination ya Makonda, Gambo, Sabaya ni moto wa kuotea mbali Arusha na haitamwacha salama mwizi wa wa magari Godbless Lema.
Lema aanze tu mazoezi ya jinsi ya kutorokea Kenya tena kisha kwenda Canada alikoficha familia yake.
Hizi tuhuma za Lema kwamba Makonda ni muuwaji wengine huwa tunaziona kama ngonjera tu kwa sababu hajawahi kuthibitisha popote.
Kipindi cha awamu ya tano alikuwaga anasema amezuiwa na Magufuli kuthibitisha lkn sasa ni awamu ya sita na Magufuli hayupo duniani zaidi ya miaka mitatu sasa lkn hakuna ushahidi wowote kutolewa, ni ngonjera tu.
Wanyonge tunao nyanyaswa na matajiri na hatuna sehemu ya kusemea tuko pamoja na Makonda popote alipo. Nyie majizi ya kwenye system mnaodhani mmemkomoa Makonda ndiyo kwanza mmemwinua mbele yetu.
Wapambe wa dikteta uchwara wanatudanganya hapa eti zero brain amtishe Lema.
Halafu mleta mada yuko kwao Simiyu huko hajui kwamba kuingia hata huko Canada na kupata political asylum sio rahisi mpaka wachunguze kweli kuona unakimbia hatari na ndio kilichotokea 2020.
Anafikiri mtu unaweza kuamka tu na kukimbilia Canada kuwa unawindwa kirahisi tu.
Dikteta uchwara alitengeneza political refugees na hiyo inajulikana wazi kwenye jumuiya za kimataifa , Bashite ni muuaji inajulikana ndio maana alipigwa ban yeye pamoja na mkwewe kutia mguu hapa US.
Kulwa Jilala una vituko !Bashite siyo mwizi wala ombaomba kama huyo mmachame Lema
Ndio wewe hapo!Kulwa jilala ndiyo nani?
Kwa sasa tumegundua kwamba Chadema ni genge la wakora wa kisiasa ambao wanatumia siasa kusaka tonge!Combination ya Makonda, Gambo, Sabaya ni moto wa kuotea mbali Arusha na haitamwacha salama mwizi wa wa magari Godbless Lema.
Lema aanze tu mazoezi ya jinsi ya kutorokea Kenya tena kisha kwenda Canada alikoficha familia yake.
Hizi tuhuma za Lema kwamba Makonda ni muuwaji wengine huwa tunaziona kama ngonjera tu kwa sababu hajawahi kuthibitisha popote.
Kipindi cha awamu ya tano alikuwaga anasema amezuiwa na Magufuli kuthibitisha lkn sasa ni awamu ya sita na Magufuli hayupo duniani zaidi ya miaka mitatu sasa lkn hakuna ushahidi wowote kutolewa, ni ngonjera tu.
Wanyonge tunao nyanyaswa na matajiri na hatuna sehemu ya kusemea tuko pamoja na Makonda popote alipo. Nyie majizi
Huo ndio ukweli halisi!Combination ya Makonda, Gambo, Sabaya ni moto wa kuotea mbali Arusha na haitamwacha salama mwizi wa wa magari Godbless Lema.
Lema aanze tu mazoezi ya jinsi ya kutorokea Kenya tena kisha kwenda Canada alikoficha familia yake.
Hizi tuhuma za Lema kwamba Makonda ni muuwaji wengine huwa tunaziona kama ngonjera tu kwa sababu hajawahi kuthibitisha popote.
Kipindi cha awamu ya tano alikuwaga anasema amezuiwa na Magufuli kuthibitisha lkn sasa ni awamu ya sita na Magufuli hayupo duniani zaidi ya miaka mitatu sasa lkn hakuna ushahidi wowote kutolewa, ni ngonjera tu.
Wanyonge tunao nyanyaswa na matajiri na hatuna sehemu ya kusemea tuko pamoja na Makonda popote alipo. Nyie majizi ya kwenye system mnaodhani mmemkomoa Makonda ndiyo kwanza mmemwinua mbele yetu.
kisiasamtuou!Chadema
Kwa sasa tumegundua kwamba Chadema ni genge la wakora wa kisiasa ambao wanatumia siasa kusaka tonge!
Hawana sera bali kuchafua CV za opponents wao kisiasa na kuendesha siasa bila sera wala hoja zenye mashiko kwa wananchi.
badala yake wanaendekeza visasi na kutukana watu hata waliotangulua mbele za haki.uwezo wa Chadema kubuni sera ndio umefikia ukomo.
uwezo wa Chadema kutetea wananchi umekwisha na sasa wanatetea mafisadi.viongozi kama Mbowe amefikia mahali anawadhurumu hata waandishi wa habari wa gazeti lililomuinua kisiasa la Tanzania Daima.