Mimi na wewe aliye na utoto ni nani?Una utoto mwingi sana wewe
Unapost kwa ID hiyo unajijibu na ID nyingine.
Man up!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi na wewe aliye na utoto ni nani?Una utoto mwingi sana wewe
Afanye masihara tena, unacheza na jera.Wakati ule alikuwa na bichwa bado yakamtokea puani.Sabaya hafanyi tena masihara.
Tutamlinda 'Rais' wetu wa kaskazini dhidi ya udhalimu na uovu wa wabaya. Tunajua kila ovu litashindwa hakuna atakayeenda kuishi uhamishoniCombination ya Makonda, Gambo, Sabaya ni moto wa kuotea mbali Arusha na haitamwacha salama mwizi wa wa magari Godbless Lema.
Lema aanze tu mazoezi ya jinsi ya kutorokea Kenya tena kisha kwenda Canada alikoficha familia yake.
Hizi tuhuma za Lema kwamba Makonda ni muuwaji wengine huwa tunaziona kama ngonjera tu kwa sababu hajawahi kuthibitisha popote.
Kipindi cha awamu ya tano alikuwaga anasema amezuiwa na Magufuli kuthibitisha lkn sasa ni awamu ya sita na Magufuli hayupo duniani zaidi ya miaka mitatu sasa lkn hakuna ushahidi wowote kutolewa, ni ngonjera tu.
Wanyonge tunao nyanyaswa na matajiri na hatuna sehemu ya kusemea tuko pamoja na Makonda popote alipo. Nyie majizi ya kwenye system mnaodhani mmemkomoa Makonda ndiyo kwanza mmemwinua mbele yetu.
Wakati huo utajuta sana kwa uovu ulioutenda duniani na hakutakuwa na wa kukutetea wala kukupendelea ili upunguziwe adhabu.Kuna maisha ya kufa. Utalipwa kwa kila uletenda ktk dunia hii
Ko hata mamlaka za nchi zimeruhusu mwizi wa magari aendelee kutamba mitaani na kupata sifa ya kuwa mgombea ubunge wakati chaguzi zinazofanyika?Kuiba magari na kuyauza nje ya nchi lzm usiwe muoga kbs
Huyo Makonda yupo kwenye system hata angekamatwa Dpp atakataa kuendelea na kesi kama alivyokataa kesi ya Gekul .Lakini huyo Lema kama tuhuma zake zingekuwa genuine angefikishwa kwa majaji ambao ni wateule wa mwenyekiti wa sisiyemu mchana kweupeKama Makonda ni muuwaji kwa nini polisi wanamuacha?
Nabii Lema si mtu wa mchezo mchezo.That's the reality .Tena Lema alipelekwa jela, akakaa huko. Walipotaka kumtoa akawakatalia. Akawaambia kama wanadhani wanaweza kumziba mdomo kwa kumtishia jela, yeye ameamua kuishi jela.
Ikabidi jeshi la polisi limpeleke Siro kumbembeleza Lema akubali kutoka jela. Yule bwana ni jasiri sana, siyo mtu wa mchezo. Na hata alipotoka hakubadili kauli yake, akazidi kusisitiza kuwa Hayati kama asingebadilika na kutenda haki, siku zake zisingevuka 2021.
Hata mimi nimeshangaa.Watu wa Arusha ni tofauti kabisa na wale wa DarHuu uzi tutaufufua mwezi November 2025
Pumbavu Waheed wee !! Lema ndo atishwe na bashite
Combination ya Makonda, Gambo, Sabaya ni moto wa kuotea mbali Arusha na haitamwacha salama mwizi wa wa magari Godbless Lema.
Lema aanze tu mazoezi ya jinsi ya kutorokea Kenya tena kisha kwenda Canada alikoficha familia yake.
Hizi tuhuma za Lema kwamba Makonda ni muuwaji wengine huwa tunaziona kama ngonjera tu kwa sababu hajawahi kuthibitisha popote.
Kipindi cha awamu ya tano alikuwaga anasema amezuiwa na Magufuli kuthibitisha lkn sasa ni awamu ya sita na Magufuli hayupo duniani zaidi ya miaka mitatu sasa lkn hakuna ushahidi wowote kutolewa, ni ngonjera tu.
Wanyonge tunao nyanyaswa na matajiri na hatuna sehemu ya kusemea tuko pamoja na Makonda popote alipo. Nyie majizi ya kwenye system mnaodhani mmemkomoa Makonda ndiyo kwanza mmemwinua mbele yetu.
Akimbizwe na nini katika nchi amani? Kwa hiyo Makonda, Sabaya na Gambo wanachukia na Lema mpaka wamtishe akimbie? Nyie mmeja visasi kweli kweli, acha kuwachafua akina Makonda, Sabaya na GamboCombination ya Makonda, Gambo, Sabaya ni moto wa kuotea mbali Arusha na haitamwacha salama mwizi wa wa magari Godbless Lema.