Pre GE2025 Godbless Lema anza mazoezi ya jinsi utakavyorudi Canada, ubunge umeota mbawa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Sisi tulioko Arusha tunajua kwamba Lema hana mvuto tena Arusha. Ponea ponea ya chadema ni labda wamsimamishe mgombea mwingine, lema abaki anakipigania chama.
 
Akili za kushikiliwa
Makonda Hana uwezo wa kuzui kura za Lema Wala kumbuguzi
Akicheza tuu yayakayomkuta Samia hatamuacha kwani aliyemrudisha Lema ni Samia
Samia ni muungwana kupitiliza
 
Arusha haihitaji combination, hata ungempeleka nyetanyau hawana mbambamba, wanakumwaga tu.
Lema Arusha atakuwa mbunge zaidi ya miaka 20 ijayo labda mwendazake afufuke
 
Hivi makonda anawasemea wapi hao masikini Kwa hiyo ukiwa tajiri ni kosa Tanzania
 
Kwani maamuzi ya kuchagua mbunge ni ya bwana Lema au wakazi wa Arusha? Kama wakazi wa Arusha hawana haki ya kuchagua mbunge wamtakaye kuna haja gani ya kampeni pamoja na uchaguzi?
Hawa akina Etwege ndio wabeba kura za wizi kwenye mifuko ya Sandarusi. Ndio maana hawaamini Mbunge wamtakaye lazima ateuliwe na Wapigakura.
 
Watu kama mtoa hoja wana kiu na damu za Watanzania hasa wasio wana CCM. Wanafurahia ouvu. Wapumbavu kabisa.
 
Umeanza lini uhakimu mpaka kumuita mwanasiasa nguli "mwizi wa magari"? Alishawahi kukuibia lako pia?
Huyo jamaa anawashwa sana huko nyuma kwake,achana naye.
Sisi wakazi na wapiga kura wa Arusha mjini tupo kimya tunapanga mambo yetu yaende yeye analeta porojo za kindezi.
Anatumika sana bila kujitambua.
 
maskini mnyang'anyi hata ramli hafanyagi tena skuizi 🐒

hii kitu itakua imemvuruga mbaya sana atakua anaongea pekeyake tu huko aliko saivi na kusonya sana tu, dah 🐒
 
Kwani hizo ni tuhuma za Lema nenda ubalozi wa Marekani waombe wakupatie utibitisho, acha kuishi kwa kushikiwa akili. Mwulize Makonda kwa nini hana visa ya USA?
 
Lema ana life lake, wewe hapo ulipo ni una life la kuunga uunga tu
 
Mnajuwa fika kuwa kwa ubabe wa ccm kila kitu kinawezekana na wabunge wote wa ccm wanaweza kupita bila kupingwa kama ilivyotokea. Wewe kwanini unakua mjinga kiasi hicho kushabikia upuuzi huu?
 
Umeanza lini uhakimu mpaka kumuita mwanasiasa nguli "mwizi wa magari"? Alishawahi kukuibia lako pia?
Hilo jitu masikini litapata wapi gari? Hata uwezo wa kumiliki baiskeli unaweza kuta hana.
Fuatilia mawazo yake utagundua

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 

Wana Arusha hawako tayari tena kulindia kura mwizi wa magari
 
Wewe tulikuambia kwamba Makonda hana maisha ccm ukabisha , sasa nakuambia tena hapo Arusha hamalizi miezi 6

Wewe ulisema Makonda hatateuliwa kabisa eti amemalizwa na Gwajima, kiko wapi sasa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…