barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,378
- 29,739
Kwani watu wanashikiwa gobole lazima waende kwenye mechi?Mgombea ubunge jimbo la Arusha Mjini Ndg. Godbless Lema amelalamika kuwa CCM inawahujumu kwa kuandaa mechi ya Simba bila kiingilio na Tamasha la Wasanii bure ili kuhujumu mkutano wa mgombea urais wa CHADEMA Ndg. Tundu Lissu.
Hata hivyo Lema ameapa kuwa leo ndio CCM watajua kwamba CHADEMA ni baba lao Arusha.
Lema amesema haya katika ukurasa wake wa Twitter.
My take: Kwani sehemu anayoenda Lissu ni lazima shughuli zisimame?
Maendeleo hayana vyama!
Waulize kawe palikua na mechi gani?Jamani Arusha si ngome ya chadema huwa mnasema?
Sasa inawezekanaje waache rais wao waende kwenye michezo?
Hawa chadema waache visingizio! Ni kwamba wananchi wamewapuuza
Tulisha apa kuifuta ccm, ccm kwetu ni sawa na sumuEEBANA EEH , SALUTE KWENU WADAU WA A-TOWN, MMEWACHAPA CCM NA VIBARAKA WAO NGUMI KIBAO ZA USO, WAKAFIE MBELE.
Hayo tutatazama marudio, kwetu sisi kipau mbele ni mapokezi ya rais mtarajiwa#FriendlyMatch 85'
Arusha FC 0-5 Simba SC
[emoji460]5' Kagere
[emoji460]24' Bwalya
[emoji460]34' Kagere
[emoji460]64' Miquissone
[emoji460]76' Miquissone
[emoji460]89' Miquissone
#Sportstz https://t.co/hldz8ePKUu
Plan zao zimefeli maana ni za kikoloni[emoji23][emoji23][emoji23]
Wamemkodia Lissu mechi heheh
Hapo lazima wachemshe tu hawana plan b ya kuisimamisha cdm mkoani Arusha.Hali ya CCM ni mbaya kweli kweli,muda huu wapo kikaoni wanamlaumu DC kaboringa sana.Mwenyekiti wa CCM Mkoa RPC Mstaafu Zelot anataka wajumbe wa kamati ya Wilaya ya kutafuta mbinu mbadala mapema ndani ya week 2 kabla jahazi halijazama kabisa.
Sasa hapa mnaburudisha viti?Kama kuna taarifa za ndani kuhusu hujuma hapo sawa.Ila kama ni kujisemea sababu kumekuwa na mechi huo ni ujinga. Shughuli lazima ziendelee na Simba wapo kazini AFC wapo kazini wanatafuta posho za wachezaji. Jana ACT imezindua kampeni na ilikuwa Yanga Day.
Kwani una tatizo gani?mbona unamalizia stress kwa mabingwa wa nchi?Wakuu Salamu toka Arusha na vitongoji vyake.
Uwanja wa Shekh Amri Abeid na tamasha uwanja wa Kilombero hakuna watu ni aibu tupu kama si fedhehea.
Wana Arusha wapo uwanja wa Relini wamejaa tele hakuna nafasi ya kutema mate.Hakuna nafasi ya kujigeuza wala kujinasi ni nyomi ya kutosha na kusikitisha kwa wenye hila na hiyana.
Mkuu wa Wilaya njoo na style nyingine hii imebuma vibaya mno,tamasha tuwekee kesho leo tunasikiliza sera na miongozo ya Mh Lissu mmekata umeme lakini haisaidii asilani.
View attachment 1554438
Leta picha za mafuriko ya arushaHapo lazima wachemshe tu hawana plan b ya kuisimamisha cdm mkoani Arusha.
Tulisha kula kiapo kuwa ccm ni adui yetu
Kuna kama kumsusia?Hali ya Mrisho ni mbaya kupita maelezo Majuzi kajaribu kuwarubuni washindani wake wa ndani CCM wamegoma kabisa.
Unauliza chai maharage kwa mama nitilie?Leta picha za mafuriko ya arusha
Dewji anachotatuta atakipata!Sass rasmi simba ni ccm na wanachama wa simba ni mataga