Uchaguzi 2020 Godbless Lema: Arusha leo kuna Mechi ya Simba bure na Tamasha la Wasanii bure ili kuhujumu Mkutano wa Tundu Lissu

Mkutano wa chadema huu hapa
 

Attachments

  • ARUSHA hiyo Asantee ( 422 X 750 ).mp4
    1.4 MB
Picha ya lini hiyo bwashee?
 
Picha ya lini hiyo bwashee?
 
Safi sn Arusha mmetisha sn sio kwa nyomi hiyo kwa rais wetu kipenzi Tundu Lissu
 
Sehemu ya maazimio na mikakati ya KK ya halmashauri kuu ya taifa ya CCM ilipokutana siku ya leo jijini Dodoma. Vichwa maji WAMEPANIKI.
 
Sio Arusha tu, ni maeneo yote ya wanaojitambua.

Kwa kipindi kirefu sasa adui ujinga ameendelea kukisaidia hiki chama. Ila ina mwisho wake.
Kabisa kabisa mkuu, hasa hizi shule zao za kampeini za kata ndiyo sumu yao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…