JF Member
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 7,914
- 10,793
Hahaha.. punguza Basi uongo na wewe. AkiiMkuu utakuwa unanionea kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha.. punguza Basi uongo na wewe. AkiiMkuu utakuwa unanionea kabisa
Sio Arusha tu, ni maeneo yote ya wanaojitambua.Ccm Arusha ni sawa na mafuta na maji
Piga na jukwaani basi mkuu!!
Angalia mechi hii Azam TV utaona hata ukidondosha sindano utaiona.Piga na jukwaani basi mkuu!!
Lema afungashefungashe mwenye jimbo lake keshafika Mrisho Gambo.
Ndo shida ya kutegemea kidume kimoja, hakuna namna tumikeni maana hata akisema mtembee na boxer vidume mtatii tu. PoleniHabachori tu yule ndiyo anaitumikisha simba vibaya
Mkutano wa chadema huu hapaNjama za kuhujumu ujio wa mh Lissu hapa bikini Arusha kuendeleza kampeini zake na cdm zimebuuma.
Ccm walijua kabisa kuwa mh Lissu ana washabiki na wapenzi wengi sana hapa Arusha na wengi wao ni vijana ambao wameichoka ccm.
Hivyo wakaona njia ya kuwa fanya wasiende kwenye mapokezi na mkutano wa mh Lissu ni kuandaa mechi ya kustukiza ya soka kati ya simba na Arusha fc.
Matokeo yake watu wamegoma kwenda uwanjani kutazama mpira ingawa wapo pia wapenzi wa simba lkn wameamua kwenda kumsikiliza rais wao mtarajiwa mh Lissu.
Nawapongeza sana wana wa Arusha.
Hiyo ndiyo hali halisi ya uwanja wa Sheikh Amri Abeid Arusha. View attachment 1554386
Kamanda baadae utume picha wakiwa wanapitisha mabakuli kamanda.
Picha ya lini hiyo bwashee?Njama za kuhujumu ujio wa mh Lissu hapa bikini Arusha kuendeleza kampeini zake na cdm zimebuuma.
Ccm walijua kabisa kuwa mh Lissu ana washabiki na wapenzi wengi sana hapa Arusha na wengi wao ni vijana ambao wameichoka ccm.
Hivyo wakaona njia ya kuwa fanya wasiende kwenye mapokezi na mkutano wa mh Lissu ni kuandaa mechi ya kustukiza ya soka kati ya simba na Arusha fc.
Matokeo yake watu wamegoma kwenda uwanjani kutazama mpira ingawa wapo pia wapenzi wa simba lkn wameamua kwenda kumsikiliza rais wao mtarajiwa mh Lissu.
Nawapongeza sana wana wa Arusha.
Hiyo ndiyo hali halisi ya uwanja wa Sheikh Amri Abeid Arusha. View attachment 1554386
Ni hatari sana mkuuMkutano wa chadema huu hapa
Maalim namkubali sana na kweli amemaanisha hivyo
Picha ya lini hiyo bwashee?Njama za kuhujumu ujio wa mh Lissu hapa bikini Arusha kuendeleza kampeini zake na cdm zimebuuma.
Ccm walijua kabisa kuwa mh Lissu ana washabiki na wapenzi wengi sana hapa Arusha na wengi wao ni vijana ambao wameichoka ccm.
Hivyo wakaona njia ya kuwa fanya wasiende kwenye mapokezi na mkutano wa mh Lissu ni kuandaa mechi ya kustukiza ya soka kati ya simba na Arusha fc.
Matokeo yake watu wamegoma kwenda uwanjani kutazama mpira ingawa wapo pia wapenzi wa simba lkn wameamua kwenda kumsikiliza rais wao mtarajiwa mh Lissu.
Nawapongeza sana wana wa Arusha.
Hiyo ndiyo hali halisi ya uwanja wa Sheikh Amri Abeid Arusha. View attachment 1554386
Kabisa mkuu kama wazalendo inabidi tumuunge mkonoMwelekeo aliochukua Maalim ni wa kuungwa mkono. Hiyo ndiyo njia pekee iliyopo.
Tatizo lako chanzo chako cha habari ni uhuru na mzalendo na tbcPicha ya lini hiyo bwashee?
Inaumiza lkn no wayNdo shida ya kutegemea kidume kimoja, hakuna namna tumikeni maana hata akisema mtembee na boxer vidume mtatii tu. Poleni
Hahahaaaa...... hujajibu swali bwashee!Tatizo lako chanzo chako cha habari ni uhuru na mzalendo na tbc
Sehemu ya maazimio na mikakati ya KK ya halmashauri kuu ya taifa ya CCM ilipokutana siku ya leo jijini Dodoma. Vichwa maji WAMEPANIKI.Njama za kuhujumu ujio wa mh Lissu hapa bikini Arusha kuendeleza kampeini zake na cdm zimebuuma.
Ccm walijua kabisa kuwa mh Lissu ana washabiki na wapenzi wengi sana hapa Arusha na wengi wao ni vijana ambao wameichoka ccm.
Hivyo wakaona njia ya kuwa fanya wasiende kwenye mapokezi na mkutano wa mh Lissu ni kuandaa mechi ya kustukiza ya soka kati ya simba na Arusha fc.
Matokeo yake watu wamegoma kwenda uwanjani kutazama mpira ingawa wapo pia wapenzi wa simba lkn wameamua kwenda kumsikiliza rais wao mtarajiwa mh Lissu.
Nawapongeza sana wana wa Arusha.
Hiyo ndiyo hali halisi ya uwanja wa Sheikh Amri Abeid Arusha. View attachment 1554386
Kabisa kabisa mkuu, hasa hizi shule zao za kampeini za kata ndiyo sumu yaoSio Arusha tu, ni maeneo yote ya wanaojitambua.
Kwa kipindi kirefu sasa adui ujinga ameendelea kukisaidia hiki chama. Ila ina mwisho wake.