Nabii wa Mungu, Godbless Lema amesimulia namna alivyokamatwa.
Anadai alikamatwa kabla hata hajashuka kwenye ndege siku ya Jumapili na kupelekwa kituo cha Polisi Terminal 1.
Alipoulizwa sababu ya kukamatwa akajibiwa kwamba ameandamana ndani ya Ndege.
======
Mwenyekiti wa Kanda ya Kaskazini wa CHADEMA, Godbless Lema ameeleza Kuwa alikamatwa siku ya jana Saa 12 kasoro 10 jioni, akiwa ndani ya ndege na polisi 10.
Mambo hayo yanatokeaje ilihali yule dikteta hayupo tena? Zamani yalikuwa yakitokea, mzigo wote wote wa lawama alikuwa anapewa dikteta yule; je sasa hivi ni nani anabeba mzigo wa lawama?
Awali vyombo vya habari duniani vimeripoti hatua hiyo ya kugandamiza demokrasia kwa viongozi wa CHADEMA kunyakuliwa na vyombo vya dola vya serikali inayoongozwa na chama dola kongwe CCM
Tanzanian police cracked down on an opposition protest organized by the Chadema party on Monday, arresting key leaders, including chairman Freeman Mbowe, before they could lead a peaceful demonstration in Dar es Salaam. The protest aimed to highlight alleged killings and abductions of government critics. Chadema accused President Samia Suluhu Hassan’s government of returning to the repressive tactics used by her predecessor, John Magufuli. Despite assurances from Mbowe that the protest would remain peaceful, police cited public order concerns, deploying heavy security across the city.
Awali vyombo vya habari duniani vimeripoti hatua hiyo ya kugandamiza demokrasia kwa viongozi wa CHADEMA kunyakuliwa na vyombo vya dola vya serikali inayoongozwa na chama dola kongwe CCM
Mambo hayo yanatokeaje ilihali yule dikteta hayupo tena? Zamani yalikuwa yakitokea, mzigo wote wote wa lawama alikuwa anapewa dikteta yule; je sasa hivi ni nani anabeba mzigo wa lawama?
Mambo hayo yanatokeaje ilihali yule dikteta hayupo tena? Zamani yalikuwa yakitokea, mzigo wote wote wa lawama alikuwa anapewa dikteta yule; je sasa hivi ni nani anabeba mzigo wa lawama?
Yawezekana wengi mmelala ila Mimi Sina usingizi kabisa naiwaza nchi yangu Tanzania na haya yaliyo jiri Jijini Dsm dhidi ya KUUZIWA maandamano ya chadema,
Nimewaza mengi hata lire la watu KUUZIWA kufanya kazi zao za kisiasa ili hali Rais wetu yupo Rukwa anacheza BAO,
Sijaishia ilo TU nimewaza jinsi jeshi la magereza wamekosa gari la kumsafirishia Mh Meya Boni yai kumleta mahakamani akapate DHAMANA AMBAYO ni haki yake ya msingi.
Nawaza mengi nimejiuliza elimu zetu hasa vijana wa Kitanzania zinatusaidia Nini?
Najiuliza Mh lema alipanda ndege aina ya uongo wa bibi yake ambao inaongozwa na mizimu?
Nimezungumza na Yericko Nyerere amenihakikiahia yakuwa hata mizimu ikikubeba haiwezi kukutupa pahala ambapo usitali kwenda ikitokea mizimu ikazidiwa basi ujifanya imeshindwa ila iko siku itarejea
Najiuliza Mh Godbless Lema alipanda ndege inayoendeshwa na RUBANI MSOMI kabisa?
Ndege hiyo ina wahudumu kweli wa ndege WALIO somea kutoa huduma?
Huyo RUBANI na muhudumu alie kuwa kwenye ndege walishudia Mh lema anashishwa wakashindwa hata kupiga yowe?wakashindwa basi hata kutoa TAARIFA YAKUWA mteja wao katekwa?
Najiuliza huyo RUBANI wa ndeg hiyo na mhudumu wanaishi Tanzania kweli hawajui ni majizi TU hapa mzee Ali kibao alishishwa kwenye basi na akatekwa na kuuwa?
Wanaishi wapi HAWA?
Useless education shame on you
Mh lema tutajie shirika la ndege ulirolitumia naomba shirika likitajwa kila ANAE soma Uzi hu ateo neno.