Godbless Lema asimulia jinsi alivyokamatwa Jumapili na kuandikiwa kosa la kuandamana kwenye ndege

Godbless Lema asimulia jinsi alivyokamatwa Jumapili na kuandikiwa kosa la kuandamana kwenye ndege

H
Mambo hayo yanatokeaje ilihali yule dikteta hayupo tena? Zamani yalikuwa yakitokea, mzigo wote wote wa lawama alikuwa anapewa dikteta yule; je sasa hivi ni nani anabeba mzigo wa lawama?
Huo ni mfumo wa chama Cha mapinduzi. Hata ajaye njia ni hiyo hiyo. Kwa hiyo dawa ni Moja, kuondoa mfumo mzima!
 
Nabii wa Mungu, Godbless Lema amesimulia namna alivyokamatwa.

Anadai alikamatwa kabla hata hajashuka kwenye ndege siku ya Jumapili na kupelekwa kituo cha Polisi Terminal 1.

Alipoulizwa sababu ya kukamatwa akajibiwa kwamba ameandamana ndani ya Ndege.
======
Mwenyekiti wa Kanda ya Kaskazini wa CHADEMA, Godbless Lema ameeleza Kuwa alikamatwa siku ya jana Saa 12 kasoro 10 jioni, akiwa ndani ya ndege na polisi 10.

Soma Pia:

Nabii fake ambae hakuweza kutabiri kuwa hapatakuwepo na wafuasi siku ya maandamano hadi mzee mbowe akajikuta yupo na familia yake tu.
 
Nabii fake ambae hakuweza kutabiri kuwa hapatakuwepo na wafuasi siku ya maandamano hadi mzee mbowe akajikuta yupo na familia yake tu.
Hakuna kitu kinavunja moyo kama hicho
Kuitisha maandamano ya mamilioni ya wanachadema halafu unajikuta wewe tu na familia yako tu

Mbowe atakuwa kaumia hadi basi
 
Nabii wa Mungu, Godbless Lema amesimulia namna alivyokamatwa.

Anadai alikamatwa kabla hata hajashuka kwenye ndege siku ya Jumapili na kupelekwa kituo cha Polisi Terminal 1.

Alipoulizwa sababu ya kukamatwa akajibiwa kwamba ameandamana ndani ya Ndege.
======
Mwenyekiti wa Kanda ya Kaskazini wa CHADEMA, Godbless Lema ameeleza Kuwa alikamatwa siku ya jana Saa 12 kasoro 10 jioni, akiwa ndani ya ndege na polisi 10.

Soma Pia:

Siku ya maandamano anapanda ndege kwenda wapi, au alikuwa anatoroka zake Canada?
Chadema kisiasa bado sana, ni waoga sana, mdomo mwingi lakini mijoga sana mpaka wanatia huruma, wazanzibari ni wachache lakini wako serious sana, Tanzania hatuna upinzani wenye nguvu toka maalim seif, na hawa chadema kuna wanafiki tele ndani ya chama chao hajulikani nani ni nani.
 
Hayupo sasa
Mbona uhayawani BADO upo
Na ulikuwepo hata kabla yake
Kabla yake ulikuwepo ila sio wa kiwango chake. Huyu mama ameanza kuiga baada ya kurejeaha lile kundi la dhalimu.
 
Aombe fidia kwa shirika la ndege ,kwann halikutoa taarifa kukamatwa kwake
 
Back
Top Bottom