Godbless Lema asimulia jinsi alivyokamatwa Jumapili na kuandikiwa kosa la kuandamana kwenye ndege

Jeshi zima la polisi lilikuwa Dar kuanzia Jumamosi ,sehemu zingine za nchi zilikuwa hazina ulinzi kabisa.
Mbona Mikoani kulikuwa na show off zote kama huko Dar?

Aliyekudanganya ni nani? Msikilize RPC wa Mbeya hapa 👇

View: https://youtu.be/G5QIkifaqNE?si=PMKKESUViHKlSW2j
Na Kwa taarifa Yako tuu show off zimefanyika Nchi nzima na Kwa sehemu tuu ya Askari ambao hawakuwa kwenye majukumu.

Na Kwa taarifa Yako baada ya Walimu, taasisi nyingine yenye Watumishi wengi hapa Tanzania ni Polisi so hao walikuwa wachache sana kulingana na level ya alert
 
Ayo Tv ni wanafiki wakubwa.

Wanajitokeza kwenye oparesheni za kipolisi lakini hawatoi taarifa zinazosaidia jamii hususan kwenye utekaji na mauaji ya raia kunakofanywa na polisi.

Ayo Tv imeshindwa hata kupost matamko ya maandamano wala kuhoji raia kama wana mtazamo gani.

Wao wapo bize kulamba kalio za watawala. Wataanguka nao
 
Wewe haujaandamana ?tumetiwa moyo mtoto wa mbowe kukamatwa akiwa na baba yake next time lema na tundu lisu wawe frontline ya maandamano na watoto wao tutawaelewa zaidi na tutaandamana
 
Mbona ww sijakuona mkuu au ww maaandamano yako yapo kwenye JF
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…