Huo ni mfumo wa chama Cha mapinduzi. Hata ajaye njia ni hiyo hiyo. Kwa hiyo dawa ni Moja, kuondoa mfumo mzima!Mambo hayo yanatokeaje ilihali yule dikteta hayupo tena? Zamani yalikuwa yakitokea, mzigo wote wote wa lawama alikuwa anapewa dikteta yule; je sasa hivi ni nani anabeba mzigo wa lawama?
Hayupo sasaShetani magu hawezi kutakata kwa uhayawani ule aliokuwa anafanya.
Nabii fake ambae hakuweza kutabiri kuwa hapatakuwepo na wafuasi siku ya maandamano hadi mzee mbowe akajikuta yupo na familia yake tu.Nabii wa Mungu, Godbless Lema amesimulia namna alivyokamatwa.
Anadai alikamatwa kabla hata hajashuka kwenye ndege siku ya Jumapili na kupelekwa kituo cha Polisi Terminal 1.
Alipoulizwa sababu ya kukamatwa akajibiwa kwamba ameandamana ndani ya Ndege.
======
Mwenyekiti wa Kanda ya Kaskazini wa CHADEMA, Godbless Lema ameeleza Kuwa alikamatwa siku ya jana Saa 12 kasoro 10 jioni, akiwa ndani ya ndege na polisi 10.
Soma Pia:
- Yanayojiri kwenye Maandamano ya CHADEMA 23/9/2024
- Maandamano ya CHADEMA: Jeshi La Polisi lathibitisha kukamata waandamanaji 14 ikiwemo viongozi wa CHADEMA
- Baada ya Shinikizo la Kimataifa, Viongozi wa Chadema Waanza kuachiwa, Mbowe, Lissu na Lema Waachiwa
Hakuna kitu kinavunja moyo kama hichoNabii fake ambae hakuweza kutabiri kuwa hapatakuwepo na wafuasi siku ya maandamano hadi mzee mbowe akajikuta yupo na familia yake tu.
Siku ya maandamano anapanda ndege kwenda wapi, au alikuwa anatoroka zake Canada?Nabii wa Mungu, Godbless Lema amesimulia namna alivyokamatwa.
Anadai alikamatwa kabla hata hajashuka kwenye ndege siku ya Jumapili na kupelekwa kituo cha Polisi Terminal 1.
Alipoulizwa sababu ya kukamatwa akajibiwa kwamba ameandamana ndani ya Ndege.
======
Mwenyekiti wa Kanda ya Kaskazini wa CHADEMA, Godbless Lema ameeleza Kuwa alikamatwa siku ya jana Saa 12 kasoro 10 jioni, akiwa ndani ya ndege na polisi 10.
Soma Pia:
- Yanayojiri kwenye Maandamano ya CHADEMA 23/9/2024
- Maandamano ya CHADEMA: Jeshi La Polisi lathibitisha kukamata waandamanaji 14 ikiwemo viongozi wa CHADEMA
- Baada ya Shinikizo la Kimataifa, Viongozi wa Chadema Waanza kuachiwa, Mbowe, Lissu na Lema Waachiwa
Wanauhakika Mafwele hayupo hapo.23 September 2024
Dar es Salaam, Tanzania
CHADEMA chama kikubwa, kimekataa kuburuzwa na chama dola kongwe CCM ...
View: https://m.youtube.com/watch?v=PnDeK0w0wLk
habari kutoka kituo cha Polisi cha Oysterbay mkoa wa kiPolisi wa Kinondoni jijini Dar es Salaam Tanzania, viongozi wa CHADEMA usiku huu ...
Kabla yake ulikuwepo ila sio wa kiwango chake. Huyu mama ameanza kuiga baada ya kurejeaha lile kundi la dhalimu.Hayupo sasa
Mbona uhayawani BADO upo
Na ulikuwepo hata kabla yake