Uchaguzi 2020 Godbless Lema azindua kampeni kwa Kishindo, uwanja watapika, Wananchi wajazana kupita uwezo wa eneo husika

Arusha watakuwa wapumbavu sana kama wataamua kuchagua Mwanaharakati(Lema) badala ya Kiongozi (Gambo), Lema hawezi tena kuibadili Arusha ila Gambo anaweza leta changes kubwa sana mimi nilijiandisha Arusha na mwezi wa kumi ntatoka huku nilipo ili nije kumpa Kura yangu Rais magufuli na Mbuge Mrisho Gambo, Siwezi kuwa mjinga nichague Genge la wahuni sijui kamanda wa Anga ni ujuha
 

sijaona wanafunzi
 
Anaewaalika wasanii kwenye mikutano yake,
1.Ana sera zisizo endana na maisha halisi ya wananchi,
2.Hapendwi ila analazimisha tu
3.Hana mvuto,kachuja kifupi hana jipya
4.Anaishia kugawa kofia,kanga na tisheti kama hongo ili achaguliwe.
 
Malawi, kule Africa magharibi kwa yule jamaa aliyefurushwa na majeshi ya Ecowas, Zambia etc.
Ahsante kwa kunisaidia kumjibu tatizo tulizoeshwa kuwa chama kimoja huo ulevi kututoka itachukua muda sana haya ngoja nimsaidie nchi zingine Marekani.wingereza,Zambia,Malawi,Africa kusini hata Kenya kwenyewe KANU iko wapi tatizo viongozi wengi wa Africa wanaogopa kutoka madarakani kwa kuhofia madhambi yao waliyofanya walipokuwa madarakani ndio maana wanatumia kila mbinu kubaki kwa hili wazungu wanatucheka sana.
 
tumia akili kuwaza inaonekana ubongo umejaa samadi badala ya akili
 
Acha hoja nyepesi za mtaani. Siasa ni sehemu yangu ya maisha na enjoy ninapokuwa najadili mambo ya siasa. Kwa taarifa yako wewe ndio unateseka na mtaendelea kuteseja na Lema wako.
hakuna hoja hapa ,ulicholeta ni upumbavu
 
hakuna mpumbavu arusha, Akili yako unayoona timamu ni sawa na akili ya chizi wa arusha
 
Mimi sihitaji kumjua Lema sana.
Itakuwa najishua hadhi yangu...Inatosha kumjua kisiasa na na kujua vizuri akili zake za mbege kwenye siasa.
 
Acha hoja nyepesi za mtaani. Siasa ni sehemu yangu ya maisha na enjoy ninapokuwa najadili mambo ya siasa. Kwa taarifa yako wewe ndio unateseka na mtaendelea kuteseja na Lema wako.
Wewe umeumizwa na nyomi la lema,mpaka leo hujasahau ndio maana umeamua uandike ujipunguzie maumivu!Kiufupi unateseka tu😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…