Abul Aaliyah
JF-Expert Member
- Nov 8, 2016
- 7,718
- 5,899
Hakika mboga mboga hamtoacha kuweweseka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu huyo mpuuzi achana naeKenya chini ya Mwai Kibaki
Lissu ndiye rais wako baada ya uchaguzi wa October, hutaki rudi kwenu Burundi
Sent using Jamii Forums mobile app
Hujawahi kuwa mhehe, wewe ni mrundi tu[emoji3][emoji3]mhehe niende burundi???
Lissu ataishia kunawa...
hagusi sinia[emoji3][emoji3][emoji3]
Mbunge wa milele wa jimbo la Arusha Mjini Mh Godbless Lema , ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA leo amezindua rasmi kampeni zake za kuomba ubunge kwa mara nyingine tena na kusababisha mafuriko makubwa ya wananchi kiasi cha kusababisha tetemeko .
Hali ilikuwa kama hivi mnavyoona .
View attachment 1563472
View attachment 1563472View attachment 1563686View attachment 1563687View attachment 1563689View attachment 1563690
Kuna haja sasa ya mikutano ya watu maarufu sana kama huyu Lema kuwa na Viingilio ili kuepusha mauaji , hakuna maigizo wala matamasha ya muziki lakini hali ndio hii !
Naomba nikumbushe ni nchi gani chama cha upinzani kiliwahi shika dola?
Ahsante kwa kunisaidia kumjibu tatizo tulizoeshwa kuwa chama kimoja huo ulevi kututoka itachukua muda sana haya ngoja nimsaidie nchi zingine Marekani.wingereza,Zambia,Malawi,Africa kusini hata Kenya kwenyewe KANU iko wapi tatizo viongozi wengi wa Africa wanaogopa kutoka madarakani kwa kuhofia madhambi yao waliyofanya walipokuwa madarakani ndio maana wanatumia kila mbinu kubaki kwa hili wazungu wanatucheka sana.Malawi, kule Africa magharibi kwa yule jamaa aliyefurushwa na majeshi ya Ecowas, Zambia etc.
tumia akili kuwaza inaonekana ubongo umejaa samadi badala ya akiliHapo vipI!
Lema leo amezindua kampeni zake pale soko kuu Arusha. Na amechagua sehemu ambayo ina highest interaction ya watu kwa kipindi chote.
Hii tafsiri yake nini?
Kwanza, hajiamini ya kwamba bado anakubalika, hivyo ili kuepuka aibu ya mwaka imembidi ajipenyeze sokoni.
Pili, amegundua yakwamba kwa sasa wana waarusha wamemshtukia na wamemchoka na hizo siasa zake za kihuni..hivyo ameamua kufanya hivyo kuificha aibu.
Tatu, akili yake ni sawa na mvuta bangi anayejificha nyuma ya sahani ya ugali, akiamini yakwamba haonekani.
Ukweli nickwamba hii ni ishara inayomuashiria taa nyekundu. Watu wa Arusha wameshamchoka na siasa za kihuni na harakati zake kwenye jiji hili la Arusha. Lema anaelewa siasa zake za mbege zimepelekea jiji la Arusha likadumaa kama vile Kilimanjaro.
Kitendo cha Lema cha kuanza kutafuta ujomba kwa Mrisho Gambo ni ishara ya kujitengenezea mazingira salama baada ya kukabidhi kijiti kwa Gambo.
Na mshauri ajiandae kisaikolojia na ampigie Gambo kampeni kwasababu tumaini la wana wa Arusha Lipo kwa CCM.
hakuna hoja hapa ,ulicholeta ni upumbavuAcha hoja nyepesi za mtaani. Siasa ni sehemu yangu ya maisha na enjoy ninapokuwa najadili mambo ya siasa. Kwa taarifa yako wewe ndio unateseka na mtaendelea kuteseja na Lema wako.
hakuna mpumbavu arusha, Akili yako unayoona timamu ni sawa na akili ya chizi wa arushaArusha watakuwa wapumbavu sana kama wataamua kuchagua Mwanaharakati(Lema) badala ya Kiongozi (Gambo), Lema hawezi tena kuibadili Arusha ila Gambo anaweza leta changes kubwa sana mimi nilijiandisha Arusha na mwezi wa kumi ntatoka huku nilipo ili nije kumpa Kura yangu Rais magufuli na Mbuge Mrisho Gambo, Siwezi kuwa mjinga nichague Genge la wahuni sijui kamanda wa Anga ni ujuha
ACHA HASIRA MWAKA HUU MTAISOMA NAMBA POLEPOLE MTAHENYAAcha kujitoa ufahamu ww ..kazi yenyewe huna
Hii ni kampeni ya mwaka 2015
Chama alichokua Mwai Kibaki, Rais wa sasa wa DRC anatoka upinzani, Raisi wa Misri pia, wengine ongeza...kenge blue wewe.Naomba nikumbushe ni nchi gani chama cha upinzani kiliwahi shika dola?
Mimi sihitaji kumjua Lema sana.Kwanza inaonyesha kwamba humjui Lema vizuri, pale kaanzia nyumbani alipoanzia siasa mwaka 2005 na amefanya mikutano pale mara nyingi kuliko sehemu nyingine yoyote pili pale kawafuata watu wazima wapiga kura. Tatu hakuna watoto ea shule na msururu wa malori na mabasi nne hakuna Ali kiba na shilole na kala jeremia tano mwambie gamboshi wako akasimame pale kama hajapata tumbo la hiari!
Nisaidie kumzoom kujua huyu jamaa ni ingizo la lini tokea pande za lumumba?Maana hizi ID za kipindi cha uchaguzi huwa ni pumba tupu!KINACHONISHANGAZA UNAETESEKA NI WEWE
Wewe umeumizwa na nyomi la lema,mpaka leo hujasahau ndio maana umeamua uandike ujipunguzie maumivu!Kiufupi unateseka tu😁😁Acha hoja nyepesi za mtaani. Siasa ni sehemu yangu ya maisha na enjoy ninapokuwa najadili mambo ya siasa. Kwa taarifa yako wewe ndio unateseka na mtaendelea kuteseja na Lema wako.