Uchaguzi 2020 Godbless Lema azindua kampeni kwa Kishindo, uwanja watapika, Wananchi wajazana kupita uwezo wa eneo husika

Uchaguzi 2020 Godbless Lema azindua kampeni kwa Kishindo, uwanja watapika, Wananchi wajazana kupita uwezo wa eneo husika

Arusha watakuwa wapumbavu sana kama wataamua kuchagua Mwanaharakati(Lema) badala ya Kiongozi (Gambo), Lema hawezi tena kuibadili Arusha ila Gambo anaweza leta changes kubwa sana mimi nilijiandisha Arusha na mwezi wa kumi ntatoka huku nilipo ili nije kumpa Kura yangu Rais magufuli na Mbuge Mrisho Gambo, Siwezi kuwa mjinga nichague Genge la wahuni sijui kamanda wa Anga ni ujuha
 
Mbunge wa milele wa jimbo la Arusha Mjini Mh Godbless Lema , ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA leo amezindua rasmi kampeni zake za kuomba ubunge kwa mara nyingine tena na kusababisha mafuriko makubwa ya wananchi kiasi cha kusababisha tetemeko .

Hali ilikuwa kama hivi mnavyoona .

View attachment 1563472
View attachment 1563472View attachment 1563686View attachment 1563687View attachment 1563689View attachment 1563690

Kuna haja sasa ya mikutano ya watu maarufu sana kama huyu Lema kuwa na Viingilio ili kuepusha mauaji , hakuna maigizo wala matamasha ya muziki lakini hali ndio hii !

sijaona wanafunzi
 
Anaewaalika wasanii kwenye mikutano yake,
1.Ana sera zisizo endana na maisha halisi ya wananchi,
2.Hapendwi ila analazimisha tu
3.Hana mvuto,kachuja kifupi hana jipya
4.Anaishia kugawa kofia,kanga na tisheti kama hongo ili achaguliwe.
 
Malawi, kule Africa magharibi kwa yule jamaa aliyefurushwa na majeshi ya Ecowas, Zambia etc.
Ahsante kwa kunisaidia kumjibu tatizo tulizoeshwa kuwa chama kimoja huo ulevi kututoka itachukua muda sana haya ngoja nimsaidie nchi zingine Marekani.wingereza,Zambia,Malawi,Africa kusini hata Kenya kwenyewe KANU iko wapi tatizo viongozi wengi wa Africa wanaogopa kutoka madarakani kwa kuhofia madhambi yao waliyofanya walipokuwa madarakani ndio maana wanatumia kila mbinu kubaki kwa hili wazungu wanatucheka sana.
 
Hapo vipI!

Lema leo amezindua kampeni zake pale soko kuu Arusha. Na amechagua sehemu ambayo ina highest interaction ya watu kwa kipindi chote.

Hii tafsiri yake nini?
Kwanza, hajiamini ya kwamba bado anakubalika, hivyo ili kuepuka aibu ya mwaka imembidi ajipenyeze sokoni.

Pili, amegundua yakwamba kwa sasa wana waarusha wamemshtukia na wamemchoka na hizo siasa zake za kihuni..hivyo ameamua kufanya hivyo kuificha aibu.

Tatu, akili yake ni sawa na mvuta bangi anayejificha nyuma ya sahani ya ugali, akiamini yakwamba haonekani.

Ukweli nickwamba hii ni ishara inayomuashiria taa nyekundu. Watu wa Arusha wameshamchoka na siasa za kihuni na harakati zake kwenye jiji hili la Arusha. Lema anaelewa siasa zake za mbege zimepelekea jiji la Arusha likadumaa kama vile Kilimanjaro.

Kitendo cha Lema cha kuanza kutafuta ujomba kwa Mrisho Gambo ni ishara ya kujitengenezea mazingira salama baada ya kukabidhi kijiti kwa Gambo.

Na mshauri ajiandae kisaikolojia na ampigie Gambo kampeni kwasababu tumaini la wana wa Arusha Lipo kwa CCM.
tumia akili kuwaza inaonekana ubongo umejaa samadi badala ya akili
 
Acha hoja nyepesi za mtaani. Siasa ni sehemu yangu ya maisha na enjoy ninapokuwa najadili mambo ya siasa. Kwa taarifa yako wewe ndio unateseka na mtaendelea kuteseja na Lema wako.
hakuna hoja hapa ,ulicholeta ni upumbavu
 
Arusha watakuwa wapumbavu sana kama wataamua kuchagua Mwanaharakati(Lema) badala ya Kiongozi (Gambo), Lema hawezi tena kuibadili Arusha ila Gambo anaweza leta changes kubwa sana mimi nilijiandisha Arusha na mwezi wa kumi ntatoka huku nilipo ili nije kumpa Kura yangu Rais magufuli na Mbuge Mrisho Gambo, Siwezi kuwa mjinga nichague Genge la wahuni sijui kamanda wa Anga ni ujuha
hakuna mpumbavu arusha, Akili yako unayoona timamu ni sawa na akili ya chizi wa arusha
 
Kwanza inaonyesha kwamba humjui Lema vizuri, pale kaanzia nyumbani alipoanzia siasa mwaka 2005 na amefanya mikutano pale mara nyingi kuliko sehemu nyingine yoyote pili pale kawafuata watu wazima wapiga kura. Tatu hakuna watoto ea shule na msururu wa malori na mabasi nne hakuna Ali kiba na shilole na kala jeremia tano mwambie gamboshi wako akasimame pale kama hajapata tumbo la hiari!
Mimi sihitaji kumjua Lema sana.
Itakuwa najishua hadhi yangu...Inatosha kumjua kisiasa na na kujua vizuri akili zake za mbege kwenye siasa.
 
Acha hoja nyepesi za mtaani. Siasa ni sehemu yangu ya maisha na enjoy ninapokuwa najadili mambo ya siasa. Kwa taarifa yako wewe ndio unateseka na mtaendelea kuteseja na Lema wako.
Wewe umeumizwa na nyomi la lema,mpaka leo hujasahau ndio maana umeamua uandike ujipunguzie maumivu!Kiufupi unateseka tu😁😁
 
Back
Top Bottom