Uchaguzi 2020 Godbless Lema azindua kampeni kwa Kishindo, uwanja watapika, Wananchi wajazana kupita uwezo wa eneo husika

Upendo haulazimishwi...we love CHADEMA! WACHA ITUUWE DAADEKI!!
 
Chadema mpaka Sasa imeshashinda Majimbo kumi na tano..

Bukoba mjini, bunda, nyamagana, ukelewe, tarime mjini, vijijini, Arusha, karatu, mbeya,Hai, Moshi mjini, Moshi vijijini, Geita mjini na Iringa mjini.

ndoto za mchana hizi, halafu inachekesha eti hii ndio best scenario kwa CDM, kati ya majimbo 264, ushindi bora kwao ni majimbo 15 tu, ambayo kiuhalisia wataishia kupata si juu ya majimbo 5.
 
Ongeza hapo na Shinyanga Mjini, Serengeti, Rorya (mpaka amepigwa kampeni na mkulu), Ulanga, Malinyi, Kilombero
 
ndoto za mchana hizi, halafu inachekesha eti hii ndio best scenario kwa CDM, kati ya majimbo 264, ushindi bora kwao ni majimbo 15 tu, ambayo kiuhalisia wataishia kupata si juu ya majimbo 5.
Mda mwingine kukaa kimya ni busara sana sio kila kitu upinge
 
Duh, Arusha kugumu sana kwa sisi.. Mmmhh
 
tusubili wakosoaji wasio na viwango,waje watie utopolo wao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…