Uchaguzi 2020 Godbless Lema azindua kampeni kwa Kishindo, uwanja watapika, Wananchi wajazana kupita uwezo wa eneo husika

Uchaguzi 2020 Godbless Lema azindua kampeni kwa Kishindo, uwanja watapika, Wananchi wajazana kupita uwezo wa eneo husika

Upendo haulazimishwi...we love CHADEMA! WACHA ITUUWE DAADEKI!!
 
Chadema mpaka Sasa imeshashinda Majimbo kumi na tano..

Bukoba mjini, bunda, nyamagana, ukelewe, tarime mjini, vijijini, Arusha, karatu, mbeya,Hai, Moshi mjini, Moshi vijijini, Geita mjini na Iringa mjini.

ndoto za mchana hizi, halafu inachekesha eti hii ndio best scenario kwa CDM, kati ya majimbo 264, ushindi bora kwao ni majimbo 15 tu, ambayo kiuhalisia wataishia kupata si juu ya majimbo 5.
 
Ongeza hapo na Shinyanga Mjini, Serengeti, Rorya (mpaka amepigwa kampeni na mkulu), Ulanga, Malinyi, Kilombero
 
ndoto za mchana hizi, halafu inachekesha eti hii ndio best scenario kwa CDM, kati ya majimbo 264, ushindi bora kwao ni majimbo 15 tu, ambayo kiuhalisia wataishia kupata si juu ya majimbo 5.
Mda mwingine kukaa kimya ni busara sana sio kila kitu upinge
 
Duh, Arusha kugumu sana kwa sisi.. Mmmhh
 
Mbunge wa milele wa jimbo la Arusha Mjini Mh Godbless Lema , ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema leo amezindua rasmi kampeni zake za kuomba ubunge kwa mara nyingine tena na kusababisha mafuriko makubwa ya wananchi kiasi cha kusababisha tetemeko .

Hali ilikuwa kama hivi mnavyoona .

View attachment 1563472

Kuna haja sasa ya mikutano ya watu maarufu sana kama huyu Lema kuwa na Viingilio ili kuepusha mauaji , hakuna maigizo wala matamasha ya muziki lakini hali ndio hii !
tusubili wakosoaji wasio na viwango,waje watie utopolo wao
 
Back
Top Bottom