Vi rendra
JF-Expert Member
- Sep 11, 2017
- 3,271
- 5,617
Wahuni?
Vipi hakuna watoto wa shule / Chekechea kama wanavyofanya watawala?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vipi hakuna watoto wa shule / Chekechea kama wanavyofanya watawala?
Kama wewe unavyo iba bata tuWizi wa magari utarudi kwa Kasi Sana [emoji16][emoji23][emoji1787]
Wakifanya huo upuuzi safari watamalizia uzee wao the HagueTume ya Uchaguzi isichezee sanduku la kura.
Sioni watoto wa shule hapo, leo wote wako class tena wamepewa pepa.
Chadema mpaka Sasa imeshashinda Majimbo kumi na tano..
Bukoba mjini, bunda, nyamagana, ukelewe, tarime mjini, vijijini, Arusha, karatu, mbeya,Hai, Moshi mjini, Moshi vijijini, Geita mjini na Iringa mjini.
Kama hujui nchi hata moja utakuwa na kichwa cha panzi!Naomba nikumbushe ni nchi gani chama cha upinzani kiliwahi shika dola?
Hata hao ccm wanajua kabisa kuwa cdm ndiyo chama dumeSioni watoto wa shule hapo, leo wote wako class tena wamepewa pepa.
Wewe uko kwenu koromitdje una chunga ng'ombe habari za Arusha tuwachie sisi wana ArushaMnachelewaga kuedit basi nyinyi?
Lema Hana chake Arusha hapa hata atumie Kila maigizo.
Tumemchokaaaaaa
Ongeza hapo na Shinyanga Mjini, Serengeti, Rorya (mpaka amepigwa kampeni na mkulu), Ulanga, Malinyi, KilomberoChadema mpaka Sasa imeshashinda Majimbo kumi na tano..
Bukoba mjini, bunda, nyamagana, ukelewe, tarime mjini, vijijini, Arusha, karatu, mbeya,Hai, Moshi mjini, Moshi vijijini, Geita mjini na Iringa mjini.
Mda mwingine kukaa kimya ni busara sana sio kila kitu upingendoto za mchana hizi, halafu inachekesha eti hii ndio best scenario kwa CDM, kati ya majimbo 264, ushindi bora kwao ni majimbo 15 tu, ambayo kiuhalisia wataishia kupata si juu ya majimbo 5.
Mikumi na tunduma piaOngeza hapo na Shinyanga Mjini, Serengeti, Rorya (mpaka amepigwa kampeni na mkulu), Ulanga, Malinyi, Kilombero
tusubili wakosoaji wasio na viwango,waje watie utopolo waoMbunge wa milele wa jimbo la Arusha Mjini Mh Godbless Lema , ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema leo amezindua rasmi kampeni zake za kuomba ubunge kwa mara nyingine tena na kusababisha mafuriko makubwa ya wananchi kiasi cha kusababisha tetemeko .
Hali ilikuwa kama hivi mnavyoona .
View attachment 1563472
Kuna haja sasa ya mikutano ya watu maarufu sana kama huyu Lema kuwa na Viingilio ili kuepusha mauaji , hakuna maigizo wala matamasha ya muziki lakini hali ndio hii !