kochakindo
JF-Expert Member
- Nov 3, 2014
- 773
- 526
nimeipenda signature yako mkuuVipi hakuna watoto wa shule / Chekechea kama wanavyofanya watawala?
ishu sio kushinda ishu ni kutangazwaChadema mpaka Sasa imeshashinda Majimbo kumi na tano..
Bukoba mjini, bunda, nyamagana, ukelewe, tarime mjini, vijijini, Arusha, karatu, mbeya,Hai, Moshi mjini, Moshi vijijini, Geita mjini na Iringa mjini.
Malawi, una jingine?Naomba nikumbushe ni nchi gani chama cha upinzani kiliwahi shika dola?
lazima ikiwauma mseme editing ,huo ndo ukweli kwahiyo kupinga haukusaidiiMbona hii picha kama naitilia shaka, nikama imepitia maabara na kukutana na wakemia
Wataelewa tu wee mtu anakuja kukuambia hii rangi ni nyeupe wakati macho yangu yanaona rangi nyeusi na mbaadoMbunge wa milele wa jimbo la Arusha Mjini Mh Godbless Lema , ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema leo amezindua rasmi kampeni zake za kuomba ubunge kwa mara nyingine tena na kusababisha mafuriko makubwa ya wananchi kiasi cha kusababisha tetemeko .
Hali ilikuwa kama hivi mnavyoona .
View attachment 1563472
Kuna haja sasa ya mikutano ya watu maarufu sana kama huyu Lema kuwa na Viingilio ili kuepusha mauaji , hakuna maigizo wala matamasha ya muziki lakini hali ndio hii !
Hakuna mondi wala joti hapoHakuna lori wala basi hapo!
kama hujui basi kichwa chako itakuwa imejaa samadi badala ya ubongoNaomba nikumbushe ni nchi gani chama cha upinzani kiliwahi shika dola?
Hilo ndio la msingi watatukabidhije nchi hawa matagaKwa sasa tunatakiwa kujiuliza ni namna gani ya kuwakabili CCM watupe nchi na si kujiuliza kama tutashinda huu uchaguzi.
Hujawahi muona Gambo akiwa kijiwe maarufu Pale sokoni?Pale alkasusu inapopatikana?Gambo kaenda kwa wanywa kahawa kuzindua ya kwake. Miaka yote akiwa RC Leo ndio kajua kuna wanywa kahawa..!
mkuu kwanini mmetuwekea mgombea duni kama Gambo ?Hujawahi muona Gambo akiwa kijiwe maarufu Pale sokoni?Pale alkasusu inapopatikana?
Diamond na Zuchu hawapo kwa sababu CHADEMA haisherekei kufanikisha ilani yao ya 2015! CCM ina majukumu matatu ya maana sana yanayo kwenda sambamba.
Lema anazindulia kampeni pembezoni na hajapata watu...njooni na picha za kwelimkuu kwanini mmetuwekea mgombea duni kama Gambo ?
Unadhani Hashimu Rungwe nae anaweza kuwabeba watu kwa lori na kuwapeleka kwenye mkutano wake?Hakuna lori wala basi hapo!
Plus DRCMalawi, kule africa magharibi kwa yule jamaa aliyefurushwa na majeshi ya ecowas, Zambia etc.
Ccm waliuza marneo yote ya wazi Arusha kisa Chadema. Sasa wanajiuliza mbona bafo watu wapo.. Hawaletwi na malori wals treni ya hongo.Mbunge wa milele wa jimbo la Arusha Mjini Mh Godbless Lema , ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema leo amezindua rasmi kampeni zake za kuomba ubunge kwa mara nyingine tena na kusababisha mafuriko makubwa ya wananchi kiasi cha kusababisha tetemeko .
Hali ilikuwa kama hivi mnavyoona .
View attachment 1563472
Kuna haja sasa ya mikutano ya watu maarufu sana kama huyu Lema kuwa na Viingilio ili kuepusha mauaji , hakuna maigizo wala matamasha ya muziki lakini hali ndio hii !