Uchaguzi 2020 Godbless Lema azindua kampeni kwa Kishindo, uwanja watapika, Wananchi wajazana kupita uwezo wa eneo husika

Uchaguzi 2020 Godbless Lema azindua kampeni kwa Kishindo, uwanja watapika, Wananchi wajazana kupita uwezo wa eneo husika

Lemaaaaaaaaaaaa nakumbuka sikuile lissu alivyo kuwa arusha wananchi walimtia aibu mwenyekiti wakati wakidhani wanacheleweshwa kumsikia lema akiwasalimia mpaka walisikika wakiseama mpe lemaaaaaaaaaaaa tunataka lemaaaaaaaaaaaa lema mpaka mwenyekiti alichukia akasikika akisema sitaki sasa mm naongea mnaniambia mnamtaka lema mm nibosi wake......lema shikamooooo
 
Chadema mpaka Sasa imeshashinda Majimbo kumi na tano..

Bukoba mjini, bunda, nyamagana, ukelewe, tarime mjini, vijijini, Arusha, karatu, mbeya,Hai, Moshi mjini, Moshi vijijini, Geita mjini na Iringa mjini.
ishu sio kushinda ishu ni kutangazwa
 
Gambo akiona hiyo picha sijui anakiwa na hali gani, naamini atakuwa anakunywa maji mengi sana.
 
Mbona hii picha kama naitilia shaka, nikama imepitia maabara na kukutana na wakemia
lazima ikiwauma mseme editing ,huo ndo ukweli kwahiyo kupinga haukusaidii
 
Mbunge wa milele wa jimbo la Arusha Mjini Mh Godbless Lema , ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema leo amezindua rasmi kampeni zake za kuomba ubunge kwa mara nyingine tena na kusababisha mafuriko makubwa ya wananchi kiasi cha kusababisha tetemeko .

Hali ilikuwa kama hivi mnavyoona .

View attachment 1563472

Kuna haja sasa ya mikutano ya watu maarufu sana kama huyu Lema kuwa na Viingilio ili kuepusha mauaji , hakuna maigizo wala matamasha ya muziki lakini hali ndio hii !
Wataelewa tu wee mtu anakuja kukuambia hii rangi ni nyeupe wakati macho yangu yanaona rangi nyeusi na mbaado
 
Gambo kaenda kwa wanywa kahawa kuzindua ya kwake. Miaka yote akiwa RC Leo ndio kajua kuna wanywa kahawa..!
Hujawahi muona Gambo akiwa kijiwe maarufu Pale sokoni?Pale alkasusu inapopatikana?
 
Mbona simuoni diamond na zuchu?

Sent using Jamii Forums mobile app
Diamond na Zuchu hawapo kwa sababu CHADEMA haisherekei kufanikisha ilani yao ya 2015! CCM ina majukumu matatu ya maana sana yanayo kwenda sambamba.

1) Kusherhekea hitimisho la ilani yao (CCM) ya 2015 kwa mafanikio makubwa, na hii ndiyo shughuli kubwa ya wasanii na shamrashamra kabambe zinazoambatana na mikutano ya kampeni.

2) Kunadi ilani ya chama chao (CCM) ya 2020 ambayo ita leapfrog maendeleo ya nchi yetu kwa speed kubwa sana ndani ya miaka 5 ijayo.

3) Kuomba kura kutoka kwa wananchi - waTanzania wa vyama vyote kwa ajili ya Rais, wabunge na madiwani wa CCM.

Kwa hiyo wasanii wote na watu wanao burudika nao wana jukumu hasa la 2. Kufurahia utimilivu wa ilani ya 2015.
 
Mgambo akatafute kazi ya ulinzi.
Kuirudisha ccm tena madarakani ni kumkufuru Mungu
 
Mbunge wa milele wa jimbo la Arusha Mjini Mh Godbless Lema , ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema leo amezindua rasmi kampeni zake za kuomba ubunge kwa mara nyingine tena na kusababisha mafuriko makubwa ya wananchi kiasi cha kusababisha tetemeko .

Hali ilikuwa kama hivi mnavyoona .

View attachment 1563472

Kuna haja sasa ya mikutano ya watu maarufu sana kama huyu Lema kuwa na Viingilio ili kuepusha mauaji , hakuna maigizo wala matamasha ya muziki lakini hali ndio hii !
Ccm waliuza marneo yote ya wazi Arusha kisa Chadema. Sasa wanajiuliza mbona bafo watu wapo.. Hawaletwi na malori wals treni ya hongo.
 
Chama gani kinawatesa watu 60 yrs, hali mjerumani miaka 25 tu alituletea maendeleo makubwa hakuna mfano.Soma kitabu kinaitwa.
How ccm underdeveloping Tanzania.
 
Back
Top Bottom