Lema hajazindua kampeni yoyote acha uongoMbunge wa milele wa jimbo la Arusha Mjini Mh Godbless Lema , ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA leo amezindua rasmi kampeni zake za kuomba ubunge kwa mara nyingine tena na kusababisha mafuriko makubwa ya wananchi kiasi cha kusababisha tetemeko...
Ni mapenzi tu toka mioyoni mwa Watanzania wanaojitambua. Eti Chadema ilishajifia! hahahahaha
mikutano ya magufuli kama stendi ya mabasiHakuna lori wala basi hapo!
Hakuna cha kupitia maabara wala cha nini hiyo ni nyomi ya ALACHUGA!!!! Mataga mpo?Mbona hii picha kama naitilia shaka, nikama imepitia maabara na kukutana na wakemia
Lema anazindulia kampeni pembezoni na hajapata watu...njooni na picha za kweli
Nenda kajiulize na mkeo ni lini mtapata watoto maana kila mwaka mimba zinaharibikaKwa sasa tunatakiwa kujiuliza ni namna gani ya kuwakabili CCM watupe nchi na si kujiuliza kama tutashinda huu uchaguzi.
Kwa haya mawe umempa sidhani kama atarudi mkuu hahaa
Mmefanya mkutano kwenye kauwanja kadogooooo ili tu ionekane pana nyomi, nyoe watu mkoje ?Mbunge wa milele wa jimbo la Arusha Mjini Mh Godbless Lema , ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA leo amezindua rasmi kampeni zake za kuomba ubunge kwa mara nyingine tena na kusababisha mafuriko makubwa ya wananchi kiasi cha kusababisha tetemeko...
Wataenda kufanya nini wakati yule aliye valishwa kofia na jamaa wa kijani hayupoVipi hakuna watoto wa shule / Chekechea kama wanavyofanya watawala?
MalawiNaomba nikumbushe ni nchi gani chama cha upinzani kiliwahi shika dola?
Wewe jamaa sikuelewagi, au 'stripper' wewe.Mmefanya mkutano kwenye kauwanja kadogooooo ili tu ionekane pana nyomi, nyoe watu mkoje ?
Ile treni iliyofufuliwa.baada ya miaka 40 haijasaidia kitu?Ccm waliuza marneo yote ya wazi Arusha kisa Chadema. Sasa wanajiuliza mbona bafo watu wapo.. Hawaletwi na malori wals treni ya hongo.
Zambia, Ivory coast, malawi, DRC, KenyaMalawi
Kuna mtu ame hack Id yangu mkuu, ila tutapambana kumdhibitiWewe jamaa sikuelewagi, au 'stripper' wewe.
Kijani upo ukija kwa makamanda upo,!
Eleweka Basi usiwe kama kicheche wa buguruni
Umesahau Tunduma labda wachakachueeChadema mpaka Sasa imeshashinda Majimbo kumi na tano..
Bukoba mjini, bunda, nyamagana, ukelewe, tarime mjini, vijijini, Arusha, karatu, mbeya,Hai, Moshi mjini, Moshi vijijini, Geita mjini na Iringa mjini.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Duh si mchezo game ngumu hii.Kuna mtu ame hack Id yangu mkuu, ila tutapambana kumdhibiti
Magufuli oyeeeeeer
Lissu safiiiiiii, safiiiiiiiiiii sana
Kiongozi hao ulio wataja wanapatikana kwenye matamasha ya muziki tu.
Tupo pamoja kamanda wangu.[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Duh si mchezo game ngumu hii.
Border ya wajanja ??endapo watachakachua tuna deal na wake zao hao madunya.Umesahau Tunduma labda wachakachuee