stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 7,134
- 4,556
Lema hajazindua kampeni yoyote acha uongoMbunge wa milele wa jimbo la Arusha Mjini Mh Godbless Lema , ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA leo amezindua rasmi kampeni zake za kuomba ubunge kwa mara nyingine tena na kusababisha mafuriko makubwa ya wananchi kiasi cha kusababisha tetemeko...