Uchaguzi 2020 Godbless Lema azindua kampeni kwa Kishindo, uwanja watapika, Wananchi wajazana kupita uwezo wa eneo husika

Mnavyopenda udikteta low key, eti mbunge wa milele
 
Sishangai Jamaa akafanya biashara siku za mwisho na akaliuza Jimbo si unajua tena mijaa mbele ya hela huwa hawana misimamo utasikia tunafuata kazi za mkuu! Bangi na mirungi huwa haipo mbali na jamaa
Huwa nashangaa huyu mtu ni sifa gani zimemsababisha akawa mbunge wa Arusha...ila nadhani kwasababu kipindi kile cha2010-2015 watu walikuwa washabiki wamabadiliko kiasi kwamba, hata mbuzi angekuwa mgombea kwa wakati ule angepita tu..ndio kipindi hicho jamaa akatumia fursa kupata hii nafasi.
 

Kaongea maneno makali sana yanachoma maini ya CCM.
 

Unajua zamani Arusha walikuwa wanataka tu mabadiriko ndio maana waliwahi chagua mpaka Mzee wa mitulinga Makongoro sasa huyu naye chalii wa chinja chinja pale kilombero akapitia hapo hapo.Arusha sasa inahitaji mtu mtulivu ambaye ataleta maendeleo. Ule mji wa utalii kwahyo wavuta bangi, wanywa viroba na mirungi muda wao umeisha
 
..sidhani kama Mrisho Gambo anaweza siasa za kwenye majukwaa.

..pia ktk kampeni hizi Mrisho Gambo hana tena Polisi aliokuwa akiwatumia kumkandamiza Godbless Lema.

..ccm walitakiwa wampitishe Monoban au Calist Lazaro kupambana na Lema.
 
Chadema mpaka Sasa imeshashinda Majimbo kumi na tano..

Bukoba mjini, bunda, nyamagana, ukelewe, tarime mjini, vijijini, Arusha, karatu, mbeya,Hai, Moshi mjini, Moshi vijijini, Geita mjini na Iringa mjini.
Unaisahau rombo
 
Leo jijii kama umekula,na Nina mashaka kama umeenda chooni,kunywa hata maji ya Moto ili uwnde chooni,au huna hata mkaa wa kuchemshia maji?
 
Ndio maana yake mkuu, na sio ya kwanza tu, bali matamasha yataendelea adi mwisho wa kampeni. Subiri baada ya uchaguzi kama kuna watu utawasikia tena. Si unakumbuka "tumeanza kupiga honi piiiiii piiiiiiii piiiiii".
Wwache wajikaange kwa mafuta yao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…