Uchaguzi 2020 Godbless Lema azindua kampeni kwa Kishindo, uwanja watapika, Wananchi wajazana kupita uwezo wa eneo husika

Uchaguzi 2020 Godbless Lema azindua kampeni kwa Kishindo, uwanja watapika, Wananchi wajazana kupita uwezo wa eneo husika

Mnavyopenda udikteta low key, eti mbunge wa milele
 
Sishangai Jamaa akafanya biashara siku za mwisho na akaliuza Jimbo si unajua tena mijaa mbele ya hela huwa hawana misimamo utasikia tunafuata kazi za mkuu! Bangi na mirungi huwa haipo mbali na jamaa
Huwa nashangaa huyu mtu ni sifa gani zimemsababisha akawa mbunge wa Arusha...ila nadhani kwasababu kipindi kile cha2010-2015 watu walikuwa washabiki wamabadiliko kiasi kwamba, hata mbuzi angekuwa mgombea kwa wakati ule angepita tu..ndio kipindi hicho jamaa akatumia fursa kupata hii nafasi.
 
Mbunge wa milele wa jimbo la Arusha Mjini Mh Godbless Lema , ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA leo amezindua rasmi kampeni zake za kuomba ubunge kwa mara nyingine tena na kusababisha mafuriko makubwa ya wananchi kiasi cha kusababisha tetemeko...

Kaongea maneno makali sana yanachoma maini ya CCM.
 
Huwa nashangaa huyu mtu ni sifa gani zimemsababisha akawa mbunge wa Arusha...ila nadhani kwasababu kipindi kile cha2010-2015 watu walikuwa washabiki wamabadiliko kiasi kwamba, hata mbuzi angekuwa mgombea kwa wakati ule angepita tu..ndio kipindi hicho jamaa akatumia fursa kupata hii nafasi.

Unajua zamani Arusha walikuwa wanataka tu mabadiriko ndio maana waliwahi chagua mpaka Mzee wa mitulinga Makongoro sasa huyu naye chalii wa chinja chinja pale kilombero akapitia hapo hapo.Arusha sasa inahitaji mtu mtulivu ambaye ataleta maendeleo. Ule mji wa utalii kwahyo wavuta bangi, wanywa viroba na mirungi muda wao umeisha
 
..sidhani kama Mrisho Gambo anaweza siasa za kwenye majukwaa.

..pia ktk kampeni hizi Mrisho Gambo hana tena Polisi aliokuwa akiwatumia kumkandamiza Godbless Lema.

..ccm walitakiwa wampitishe Monoban au Calist Lazaro kupambana na Lema.
 
Chadema mpaka Sasa imeshashinda Majimbo kumi na tano..

Bukoba mjini, bunda, nyamagana, ukelewe, tarime mjini, vijijini, Arusha, karatu, mbeya,Hai, Moshi mjini, Moshi vijijini, Geita mjini na Iringa mjini.
Unaisahau rombo
 
Leo jijii kama umekula,na Nina mashaka kama umeenda chooni,kunywa hata maji ya Moto ili uwnde chooni,au huna hata mkaa wa kuchemshia maji?
 
Back
Top Bottom