Uchaguzi 2020 Godbless Lema azindua kampeni kwa Kishindo, uwanja watapika, Wananchi wajazana kupita uwezo wa eneo husika

Uchaguzi 2020 Godbless Lema azindua kampeni kwa Kishindo, uwanja watapika, Wananchi wajazana kupita uwezo wa eneo husika

Picha yakutengenezwa hiyo.

Tukio gani hata lisionekane popote hata YouTube hakuna. Acheni fix
 
Yani mnapiga ngoma nakucheza wenyewe.
Aliyewaambia kuweka mgombea kichaa mwaka huu mbowe atawasuta.
Majimbo yatakayo sumbua ni.
1.mikumi ...... hilo naweza kuwapa 50/50
2.tunduma 50/50
Hayo mengine kunawatu watazimia.
Hiyo picha kifupi nikwamba imetengenezwa, maana haipo popote, lakini pia kwakihelehele cha rema lazima ingekuwa live akiwepo na yeye!!! Nasema mwaka huu mbowe na mzee mtei watawasuta maana mlikataa ushauri wake.
 
U
Chadema mpaka Sasa imeshashinda Majimbo kumi na tano..

Bukoba mjini, bunda, nyamagana, ukelewe, tarime mjini, vijijini, Arusha, karatu, mbeya,Hai, Moshi mjini, Moshi vijijini, Geita mjini na Iringa mjini.
Umesahau singida mjini
Wanasema Musa sima arudi akafundishe shule ya msingi tuu maana hana jipya
 
Hili jimbo litakua na ushindani sana
 
Kuna watu washaichoka ccm , longolongo nyingi alafu amna kitu.
 
Chadema mpaka Sasa imeshashinda Majimbo kumi na tano..

Bukoba mjini, bunda, nyamagana, ukelewe, tarime mjini, vijijini, Arusha, karatu, mbeya,Hai, Moshi mjini, Moshi vijijini, Geita mjini na Iringa mjini.
Hujui kuandika tumia akili
 
Siasa ina mengi sana mkuu hasa awamu hii.
Inge kuwa ni kugombania mademu basi Gambo snge mshinda Lema. Ingekuwa ni fitna na kuomba tushwa kwa wafanya biasha ra Lema ange shindwa. Ingekuwa ni kuharibu mali za wajasiriamali ili uje kwa style ya kuwa saidia Lema ange shindwa.
Kinyume na hayo yote Lema ni mbunge wa Arusha
 
Chadema mpaka Sasa imeshashinda Majimbo kumi na tano..

Bukoba mjini, bunda, nyamagana, ukelewe, tarime mjini, vijijini, Arusha, karatu, mbeya,Hai, Moshi mjini, Moshi vijijini, Geita mjini na Iringa mjini.
Bila kusahau Tunduma,kibamba,ubungo,singida mashariki,singida kaskazini na kawe.
 
Hawa jamaa wanajifariji sana, wasubiri mshangao watakaoupata tarehe 28oct....#hawataamini
 
Chadema mpaka Sasa imeshashinda Majimbo kumi na tano..

Bukoba mjini, bunda, nyamagana, ukelewe, tarime mjini, vijijini, Arusha, karatu, mbeya,Hai, Moshi mjini, Moshi vijijini, Geita mjini na Iringa mjini.
Mbeya pagumu mzeee mwaka huu
 
1599591978084.png
 
Tatizo Hapo Ni Kile Kituo Cha Ccm Cha Kuhesabu Kura!! Police Wanatakiwa Waikamate Serikali Haraka.
 
Back
Top Bottom