Uchaguzi 2020 Godbless Lema azindua kampeni kwa Kishindo, uwanja watapika, Wananchi wajazana kupita uwezo wa eneo husika

Uchaguzi 2020 Godbless Lema azindua kampeni kwa Kishindo, uwanja watapika, Wananchi wajazana kupita uwezo wa eneo husika

Kwa Ulanga co rahc japo chama chakavu kimemsimamisha Mbunge ambaye mgeni kabsa ktk siasa lkn anainfluence kubwa sana kutokana na kampuni yake kuajiri Vjana wengi pale Ulanga
Ongeza hapo na Shinyanga Mjini, Serengeti, Rorya (mpaka amepigwa kampeni na mkulu), Ulanga, Malinyi, Kilombero
 
Hapo vipI!

Lema leo amezindua kampeni zake pale soko kuu Arusha. Na amechagua sehemu ambayo ina highest interaction ya watu kwa kipindi chote.

Hii tafsiri yake nini?
Kwanza, hajiamini ya kwamba bado anakubalika, hivyo ili kuepuka aibu ya mwaka imembidi ajipenyeze sokoni.

Pili, amegundua yakwamba kwa sasa wana waarusha wamemshtukia na wamemchoka na hizo siasa zake za kihuni..hivyo ameamua kufanya hivyo kuificha aibu.

Tatu, akili yake ni sawa na mvuta bangi anayejificha nyuma ya sahani ya ugali, akiamini yakwamba haonekani.

Ukweli nickwamba hii ni ishara inayomuashiria taa nyekundu. Watu wa Arusha wameshamchoka na siasa za kihuni na harakati zake kwenye jiji hili la Arusha. Lema anaelewa siasa zake za mbege zimepelekea jiji la Arusha likadumaa kama vile Kilimanjaro.

Kitendo cha Lema cha kuanza kutafuta ujomba kwa Mrisho Gambo ni ishara ya kujitengenezea mazingira salama baada ya kukabidhi kijiti kwa Gambo.

Na mshauri ajiandae kisaikolojia na ampigie Gambo kampeni kwasababu tumaini la wana wa Arusha Lipo kwa CCM.
 
Chadema mpaka Sasa imeshashinda Majimbo kumi na tano..

Bukoba mjini, bunda, nyamagana, ukelewe, tarime mjini, vijijini, Arusha, karatu, mbeya,Hai, Moshi mjini, Moshi vijijini, Geita mjini na Iringa mjini.
Nitakukubalia pote ila Geita mjini sahau, lile jimbo halijawahi kutawaliwa na mpinzani na siku litaenda upinzani ni siku CCM imetoka madarakani.
 
Sishangai Jamaa akafanya biashara siku za mwisho na akaliuza Jimbo si unajua tena mijaa mbele ya hela huwa hawana misimamo utasikia tunafuata kazi za mkuu! Bangi na mirungi huwa haipo mbali na jamaa.
 
Back
Top Bottom