Godbless Lema: Bashiru alitaka kunilipia deni nihamie CCM

Godbless Lema: Bashiru alitaka kunilipia deni nihamie CCM

Kumbe ni kweli alikimbia nchi sababu ya madeni mpka hapo samia alimpomlipia na kumfutia madeni yote na sio hofu ya jpm.
 
Ila kulipiwa kuvaa baibui na kuhamia mahamishoni kuweka taswira ya "kuchafuka kwa hali ya Kisiasa" Tanzania ....wala.....!

Haki ya ngai hii ni sawa na mikogo alivyokuwa amevaa baibui huku akijibindua wakati akiwa na "bodaboda" akifukuza upepo kwenda Canada, Mbula!

Tumepokea taarifa. Kha
 

Attachments

  • 20201010_100754.jpg
    20201010_100754.jpg
    37 KB · Views: 1
Mkuu akili njema ndio hizi za Akina Lema, Mbowe ?

Mikiambiwa nichague Utahira na Akili za Akina Lema, Mbowe...

Nitachagua Utahira Asubuhi kweupe.
Huna akili kilaza tu wewe,akili kubwa hupimwa kwa kazi zako siyo kujimwambafy na kubana pua eti nimesomea udaktari,umemtibu nani hapa jukwaani? Fala sana wewe mbwiga.
 
Lema kama alishawahi kuuza ubunge kwa Mrema basi hana uhalali wa kusema alikataa kununuliwa. Pia amethibitisha kwamba alikimbilia Canada kukwepa madeni. Tukumbuke Lema alikuwa mfuasi mwaminifu wa siasa za mzee wa Kiraracha Hayati Lyatonga. Lema kahamia CHADEMA karibu kabisa na uchaguzi wa 2010. Kabla ya hapo alikua mfuasi mtiifu wa Hayati Lyatonga kupitia TLP.
 
Unafiki wa Lema tu huo.

Alete ushahidi kama ni kweli, hata Makonda walimsingizia mengi
Mazungumzo ya kupeana rushwa huwa hakuna kusainiana mkataba. Sasa unataka ushahidi kwanini usimwambie Bashiru alete ushahidi kwamba hakutaka kumhonga.
 
Back
Top Bottom