lukala
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 594
- 590
Apuuzwe lema Ili wakusikilize wewe.hayo mayo ni maajabuWatanzania Tuendelee kuwapuuza wapinzani uchwara kama Lema !!!.
Kinywa Cha mpumbavu hutapika upumbavu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Apuuzwe lema Ili wakusikilize wewe.hayo mayo ni maajabuWatanzania Tuendelee kuwapuuza wapinzani uchwara kama Lema !!!.
Kinywa Cha mpumbavu hutapika upumbavu
Chama cha upinzani kilicho simama ni Demokratic Party ( DP) cha Mtikila tu.
RIP Mchungaji Mtikila.
Hao wengine ni njaa njaa tu. Wanaongea ili CCM iwalipe ruzuku wale washibe.
CCM awamu ya tano ilikuwa corrupted kupita kiasi, sijui hizo hela za Usajili walikuwa wanazitoa wapi hawa jamaa.Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Kanda ya Kaskazini, Godbless Lema ametoboa siri aliyekuwa Katibu CCM, Ally Bashiru kutaka kumlipia deni alilokuwa anadaiwa bungeni kwa lengo la kumtaka ajiunga na chama hicho. Hata hivyo alikataa kulipiwa deni hilo na kudai ni heri auze figo alipe.
Lema ameibua hayo jana Aprili 28, 2023 wakati akizungumza na wananchi wa Manispaa ya Moshi katika soko la Manyema kwenye moja ya mikutano ya hadhara ya chama chake.
Kumkopa mtu kuna shida gani.Mtikila alikufa akiwa anadaiwa na Rostam Aziz milion 3 alizo pewa akalipie nyumba alipo panga!
Ilikua aibu sana
Uchague nini wakati we ni taahira. Wazee wako Wana hasara sana na laiti wangejua kuwa watazaa taahira wangeweza hata kutumia ndomMkuu akili njema ndio hizi za Akina Lema, Mbowe ?
Mikiambiwa nichague Utahira na Akili za Akina Lema, Mbowe...
Nitachagua Utahira Asubuhi kweupe.
Hii haina maana Chadema imepwaya sana viongozi ambao ni madhubuti zaidi wa Chadema wameingia ccm bila hata kuuza figo, Mdee na wenzake, kafulila na kina Waitara, Silinde nakadhalika, na sasa Mbowe na Lissu wanafanya kazi chini ya ccm, Mbowe ilibidi aiunge mkono ccm ili awe huru kuliko kubaki jela sasa tunamuona 24hrs yuko Ikulu., alipotoka jela alikimbilia Ikulu.Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Kanda ya Kaskazini, Godbless Lema ametoboa siri aliyekuwa Katibu CCM, Ally Bashiru kutaka kumlipia deni alilokuwa anadaiwa bungeni kwa lengo la kumtaka ajiunga na chama hicho. Hata hivyo alikataa kulipiwa deni hilo na kudai ni heri auze figo alipe.
Lema ameibua hayo jana Aprili 28, 2023 wakati akizungumza na wananchi wa Manispaa ya Moshi katika soko la Manyema kwenye moja ya mikutano ya hadhara ya chama chake.
Watanzania Tuendelee kuwapuuza wapinzani uchwara kama Lema !!!.
Kinywa Cha mpumbavu hutapika upumbavu
Itafika muda wake ataropoka na hayo ya kuhusu Samia kama alivyoropoka ya yeye na Kikwete kama ambavyo sasa anaropoka ya yeye na Bashiru kitu ambacho hakukisema huko mwanzo.Deni ni shilingi ngapi mbona hasemi mbona hasemi kuwa Samia kamlipia na akakubaliwa kuja
USSR
Nilijua utaumia sana lakini vumilia tu., ndivyo hali ilivyo watanzania hawana matumaini tena na upinzani wa Chadema ambao waziwazi umeonekana kwa kiwango kikubwa kupwaya sana sana,tulisha wapuuza nyinyi mashoga ya ccm mmebaki kujibaraguza kama mbuz jike yuko kwenye heat.
Wewe mbona husema ni shilingi ngapi au Samia kakwambia kuwa amelipa tu,muulize kamlipa ngapi, halafu urudi hapa na taarifa kamili, badala ya kukurupuka.Deni ni shilingi ngapi mbona hasemi mbona hasemi kuwa Samia kamlipia na akakubaliwa kuja
USSR
🤣🤣🤣Lema aliyeuza ubunge leo akatae kulipiwa deni?
Awadanganye hao hao Wanywa Mbege
Kuna ubaya gani ukimshawishi Bashiru aje kukanusha....kuliko kutaka ushahidi kwa Lema. Zama za biashara ya watu imekwisha sasa. Ukijua mlikuwa mnanunua watu mfuatilie Dk. Slaa anavyomwaga checheee.Unafiki wa Lema tu huo.
Alete ushahidi kama ni kweli, hata Makonda walimsingizia mengi
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Kanda ya Kaskazini, Godbless Lema ametoboa siri aliyekuwa Katibu CCM, Ally Bashiru kutaka kumlipia deni alilokuwa anadaiwa bungeni kwa lengo la kumtaka ajiunga na chama hicho. Hata hivyo alikataa kulipiwa deni hilo na kudai ni heri auze figo alipe.
Lema ameibua hayo jana Aprili 28, 2023 wakati akizungumza na wananchi wa Manispaa ya Moshi katika soko la Manyema kwenye moja ya mikutano ya hadhara ya chama chake.
Ila musukuma na kibajaji ndio wako vizuri.Watanzania Tuendelee kuwapuuza wapinzani uchwara kama Lema !!!.
Kinywa Cha mpumbavu hutapika upumbavu
Sasa hivi atakaye uza figo ni yeye😅😅Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Kanda ya Kaskazini, Godbless Lema ametoboa siri aliyekuwa Katibu CCM, Ally Bashiru kutaka kumlipia deni alilokuwa anadaiwa bungeni kwa lengo la kumtaka ajiunga na chama hicho. Hata hivyo alikataa kulipiwa deni hilo na kudai ni heri auze figo alipe.
Lema ameibua hayo jana Aprili 28, 2023 wakati akizungumza na wananchi wa Manispaa ya Moshi katika soko la Manyema kwenye moja ya mikutano ya hadhara ya chama chake.
Hiyo siri au uovu?Ilikuwa Siri sasa anaanika Siri, hata Siri za chama chake kuna siku atazianika juani.