Godbless Lema: Bashiru alitaka kunilipia deni nihamie CCM

Godbless Lema: Bashiru alitaka kunilipia deni nihamie CCM

Watanzania Tuendelee kuwapuuza wapinzani uchwara kama Lema !!!.

Kinywa Cha mpumbavu hutapika upumbavu
Kwakweli siasa siyo porojo ni science ,lazima ujenge hoja zenye mashiko kwa wananchi ili kutatua kero zao , siyo mazingaumbwe ya kununuliwa ,, mheshimiwa huyo toka atoke huko sijui wamemlisha maharage ya wapi yaani ...pumpa nyingi kwenye speech zake
 
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Kanda ya Kaskazini, Godbless Lema ametoboa siri aliyekuwa Katibu CCM, Ally Bashiru kutaka kumlipia deni alilokuwa anadaiwa bungeni kwa lengo la kumtaka ajiunga na chama hicho. Hata hivyo alikataa kulipiwa deni hilo na kudai ni heri auze figo alipe.

Lema ameibua hayo jana Aprili 28, 2023 wakati akizungumza na wananchi wa Manispaa ya Moshi katika soko la Manyema kwenye moja ya mikutano ya hadhara ya chama chake.
Hivi huyu Lema ameiacha lini ile kazi yake hatari kwa binadamu?
 
Kutumia fedha za walipa kodi kununua upinzani ni uhujumu uchumi.
CAG na hilo alichunguze.
 
kwamba lema aliuza ubunge ila taarifa za kuuza huo ubunge yakafahamu mashoga ya ccm na wafuas wao, imbecile.
Acha ujinga wewe lema aliuza ubunge Kwa felex mrema Kwa milion miatatu alafu akasaini kushindwa wakati huo tulikua tunampigania kumbe jamaa tapeli tu hakuna mwanasiasa pale najua yumo humu na inawezekana ni wewe watanzania hatujapoteza kumbukumbu haswa sisi watu wa arusha

Sent from my RMX2189 using JamiiForums mobile app
 
Watanzania Tuendelee kuwapuuza wapinzani uchwara kama Lema !!!.

Kinywa Cha mpumbavu hutapika upumbavu

Magufuli alikua kiongozi wa hovyo sana!
Ananunua wabunge na madiwani wkt nchi ina shida mno na huduma za kijamii.

Ni mm na ww kuhakikisha TZ haiji pata Magufuli mwingine

Chombo huru cha kimatibabu kiwe kinapima akili wagombea wa U Rais kabla hawajaruhusiwa na NEC kugombea
 
Ipo siku atatokea Tu vizazi vijavyo watakuwa na akili zaidi kuliko sisi kwahiyo wew tumia fursa yako vizuri lamba vzr
 
Naomba niwakumbushe kwamba Yanga imeingia nusu fainali.

Haya endeleeni na mjadala
 
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Kanda ya Kaskazini, Godbless Lema ametoboa siri aliyekuwa Katibu CCM, Ally Bashiru kutaka kumlipia deni alilokuwa anadaiwa bungeni kwa lengo la kumtaka ajiunga na chama hicho. Hata hivyo alikataa kulipiwa deni hilo na kudai ni heri auze figo alipe.

Lema ameibua hayo jana Aprili 28, 2023 wakati akizungumza na wananchi wa Manispaa ya Moshi katika soko la Manyema kwenye moja ya mikutano ya hadhara ya chama chake.
lema mwizi mkubwa ana faida gani

Sent from my CPH2371 using JamiiForums mobile app
 
Chadema kila jambo wanalialia tu.

Lissu nae kalilia stahiki zake kalipwa kakaa kimya.
 
Chama cha upinzani kilicho simama ni Demokratic Party ( DP) cha Mtikila tu.
RIP Mchungaji Mtikila.

Hao wengine ni njaa njaa tu. Wanaongea ili CCM iwalipe ruzuku wale washibe.
 
Back
Top Bottom