Suzy Elias
JF-Expert Member
- Nov 9, 2021
- 1,067
- 6,200
Kwa lipi na lipi mfanano wao?Lema ni Sawa na Dr Musukuma tu
Wanasiasi usije WAHAMINI HATA'...nilifurahi mno siku alipoapishwa Samia kuwa Rais na niliamini Nchi ilipata mwarobaini wa yote mabaya yaliyo pata kufanywa na mtangulizi wake. Na hali ile ilifanya nimpigie simu Mstaafu mmoja na kumweleza ninataka kurudi nyumbani.'
'....lakini kwa yanaoyoendelea sasa ndani ya Utawala wa Samia ni ya hovyo kuzidi hata ya Magufuli na hiyo inaleta maana ya Utawala wa Magufuli ni bora kuliko wa Samia jambo ambalo halikutarajiwa kabisa!'
Godbless Lema.
Hana nia ya kurudia huyo. Anaona akirudi na matunzo kwishney.siku hizi ukitaka kurudi nyumbani inabidi umpigie mstaafu?
Ulaya na America ni vitu viwili tofauti.Tafuta atlasi ujionee.Ulaya kutamu
Wanayumbayumba tuKwa lipi na lipi mfanano wao?
Kuna ubaya gani mtu mmoja kumpigia mtu mwingine simu?siku hizi ukitaka kurudi nyumbani inabidi umpigie mstaafu?
Dah hakika Lema ni kiumbe siyo binaadam. Huyu si ndiye yule aliyeleta msemo wa Mama anaupiga mwingi??????? Atulie kabisa asituchanganye. Sisi watanzania tunasema Rais wa sasa ni Samia na tunampenda mno'...nilifurahi mno siku alipoapishwa Samia kuwa Rais na niliamini Nchi ilipata mwarobaini wa yote mabaya yaliyo pata kufanywa na mtangulizi wake. Na hali ile ilifanya nimpigie simu Mstaafu mmoja na kumweleza ninataka kurudi nyumbani.'
'....lakini kwa yanaoyoendelea sasa ndani ya Utawala wa Samia ni ya hovyo kuzidi hata ya Magufuli na hiyo inaleta maana ya Utawala wa Magufuli ni bora kuliko wa Samia jambo ambalo halikutarajiwa kabisa!'
Godbless Lema.
'...nilifurahi mno siku alipoapishwa Samia kuwa Rais na niliamini Nchi ilipata mwarobaini wa yote mabaya yaliyo pata kufanywa na mtangulizi wake. Na hali ile ilifanya nimpigie simu Mstaafu mmoja na kumweleza ninataka kurudi nyumbani.'
'....lakini kwa yanaoyoendelea sasa ndani ya Utawala wa Samia ni ya hovyo kuzidi hata ya Magufuli na hiyo inaleta maana ya Utawala wa Magufuli ni bora kuliko wa Samia jambo ambalo halikutarajiwa kabisa!'
Godbless Lema.
siku hizi ukitaka kurudi nyumbani inabidi umpigie mstaafu?
Mkuu, kwa nini kiswahili kinakusumbua hivyo? Utaweza kuongea lugha ya Hotetonts kweli?Wanasiasi usije WAHAMINI HATA
UNAFIKI MWINGI
LEMA KWELI !!!?