The Sunk Cost Fallacy 2
JF-Expert Member
- Nov 8, 2022
- 9,436
- 10,944
Kama imemshinda fanya tukio la kudhibotisha kauli yako vinginevyo Ni kujilisha upepo na kujifariji tuu.Lema yupo sahihi. Bibi kizee ni mwepesi sana na nchi hii imeshamshinda tayari.
Hana nia ya kurudia huyo. Anaona akirudi na matunzo kwishney.
Panatengenezwa uhalali wa kutokurudi ili aendelee kupetiwa petiwa na mabeberu yeye na familia yake.
Ukisubiria watanzania wakukubali unajisumbua,watu wanaangalia upande wao wakibaniwa walipotegemea maneno lundo wakipata sifa kwa Kiongozi so Kama wewe Ni Kiongozi focus kwenye ajenda zako.Hivi rais gani atakuja kukubalika na Watanzania akiwa madarakani na baada ya kuondoka madarakani tangu turudi kwenye mfumo wa vyama vingi?
Magufuli alipoingia madarakani, watu wakaanza kumkumbuka Kikwete, leo Samia ameingia madarakani, Magufuli anaanza kukumbukwa!!
Itakuwa Tanzania tunahitaji katiba mpya kwakweli, ili kiongozi aliyepo madarakani aifuate hiyo katiba, ili asichukiwe na raia kwa sababu anakuwa anaongoza kwa kufuata katiba iliyotengenezwa na wananchi.
Kwa sasa kila rais anaongoza kwa utashi wake akiingia madarakani, hali inayopelekea huyu anakumbukwa, yule anachukiwa!
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Wanasiasa wa upinzani ni wapumbavu sana.. hasa huyo Lema anaendeshwa na mihemko
Bora ya rudi kuliko utawala wa kidhalimu wa magu.Yale mambo ya hovyo yote yamerudi awamu hii.
Mambo ya ubaya yametokea wapi? Au wewe ndie huyo mstaafu aliyepigiwaKuna ubaya gani mtu mmoja kumpigia mtu mwingine simu?Kuna mengi kwenye maongezi ya simu.Salamu,kujua mienendo ya nyumbani,kukumbushana jambo na kupeana taarifa.Unadhani alipompigia huyo mstaafu hakumsalimia kwanza?Unadhani hakuwa na jambo lingine ila kumwambia tu anataka kurudi Tanzania?
Mambo ya ubaya yametokea wapi? Au wewe ndie huyo mstaafu aliyepigiwa
Kabisaunalinganisha vipi utawala wa Samia na magufuli?nafikiri kila mmoja ahukumiwe kutokana na utawala wake sio kulinganishwa.
Hakuna mpinzani serious anayeweza kumpa mtu kama lowasa kugombea urais.Jawa wapinzani hawana wanachokisimamia wala kukiamini zaidi ya matumbo yao.
Angalia bwana upokee, anataka kurudi nyumbani kupitia wewe mstaafuNa ni kwa nini utake yawe mazuri tu?Ngoja niangalie kama alinipigia.
I hope kuna mtoto atakuwa kachezea simu yake.Siwaelewi watanzania wenzangu
KUna siku niliona baiskeli ya mkodishaji mmoja imeandikwa "...kila asubuhi mpya heri ya jana, siku kdhaa baadaye nikaona nyingine ya mkodishaji huyohuyo imeandikwa "...every new morning is better than yesterday" nilihisi alilenga kutafsiri ile statement ya kiswahili iliyopo kwenye baiskeli nyingine
- Wakati wa wakoloni walisema bora utawala wa Machifu
- Wakati wa Mwl. J. K. Nyerere wakasema bora ukoloni
- Wakati wa Mzee Mwinyi walisema bora Mwl. J. K. Nyerere
- Wakati wa Mzee Mkapa walimsifu sana Mzee Mwinyi
- Wakati wa Kikwete walimsifu sana Mzee Mkapa
- Wakati wa Magufuli walimponda na kumkumbuka Kikwete
- Kaja Samia sasa wanamkumbuka Magufuli