Nyamshongoma
Member
- Sep 12, 2024
- 94
- 210
Lema amejitofautisha na ukanda,big up lema!Huyu mwamba ameonesha ukomavu mkubwa kwenye kampeni za kupambania team Lissu na Heche hadi kusimamia hesabu za ushindi.
Haiyumkiniki, Mwenyekiti Lissu atampendekeza katika nafasi ya Katibu Mkuu ili kukijenga upya Chama ambacho kilishaanza kupoteza umaarufu wake baada ya Mbowe kuonesha wazi kushikamana na Samia na CCM yake.
Tuendelee kuiunga mkono CHADEMA.
CHADEMA ni mpango wa Mungu
Vipi? Si ulijiapisha Mbowe anashinda?Bado mnatuletea Wachaga tena?
na iwe, itapendeza sanaHuyu mwamba ameonesha ukomavu mkubwa kwenye kampeni za kupambania team Lissu na Heche hadi kusimamia hesabu za ushindi.
Haiyumkiniki, Mwenyekiti Lissu atampendekeza katika nafasi ya Katibu Mkuu ili kukijenga upya Chama ambacho kilishaanza kupoteza umaarufu wake baada ya Mbowe kuonesha wazi kushikamana na Samia na CCM yake.
Tuendelee kuiunga mkono CHADEMA.
CHADEMA ni mpango wa Mungu
Team Wenje umeyaookeaje matokeo?Wenje ni mwenyekiti wa Kanda, Lisu anamuhitaji Wenje kuliko machawa wake.
Mnyika bado material na anafaa kwa kazi ya utawala km akiwa chini ya mtu makini. Lissu aendelee naye kwanza aoneNi Yeye, ila Mnyika tuondoke naye pia ni MTU mzuri.
Kigaila na Genge lake watafutiwe KWA LAZIMA TUHUMA ZOZOTE HATA KAMA HAZINA USHAHIDI, WAONDOSHWE WAENDE CCM.
Sijawahi kuwa Chadema, nimempigia Lisu kura ya Urais 2020 lakini sikubaliani na siasa za Lisu wa sasa.Team Wenje umeyaookeaje matokeo?
Kwenye uchaguzi watu wanaandaa safu zao, Lisu watu wake wanata hiyo ajira na secretariet yote inaundwa na mwenyekiti na watu wanataka kula.Mnyika bado material na anafaa kwa kazi ya utawala km akiwa chini ya mtu makini. Lissu aendelee naye kwanza aone
Mimi mwenyewe si mwanachama wa Chadema ila ni muumini wa siasa ngumu za Lissu.Sijawahi kuwa Chadema, nimempigia Lisu kura ya Urais 2020 lakini sikubaliani na siasa za Lisu wa sasa.
Muda ni mwalimu mzuri sana, wanaosubili ruzuku zifike majimboni ndio watakuwa wa kwanza kumkataa Lisu.
Tuhuma zote mlizomtuhumu Mbowe zitarudi kwa Lisu.
Kitu pekee atakachofanikiwa Lisu ni kuwatowa kafara vijana wasiokuwa na familia wala hawana cha kupoteza.
Heche anaweza kuwa na busara kuliko Lisu.
Labda awe Naibu Katibu Mkuu au Idara ya Mambo ya nje.Huyu mwamba ameonesha ukomavu mkubwa kwenye kampeni za kupambania team Lissu na Heche hadi kusimamia hesabu za ushindi.
Haiyumkiniki, Mwenyekiti Lissu atampendekeza katika nafasi ya Katibu Mkuu ili kukijenga upya Chama ambacho kilishaanza kupoteza umaarufu wake baada ya Mbowe kuonesha wazi kushikamana na Samia na CCM yake.
View attachment 3209792
Tuendelee kuiunga mkono CHADEMA.
CHADEMA ni mpango wa Mungu
Busara nyingine ni kama uzee wa busara tu. Busara gani Chama kinazidi kuporomoshwa kwenye kila uchaguzi unaagalia tu.amepunguza makali na sasa anahubiri busara.
Yeah Mnyika is smart sema tu alikua anamuogopa Mbowe naamini chini ya Lissu ataonyesha makali. Lema anaweza kuwa Mjumbe wa kamati kuu au NKM Bara.Ni Yeye, ila Mnyika tuondoke naye pia ni MTU mzuri.
Kigaila na Genge lake watafutiwe KWA LAZIMA TUHUMA ZOZOTE HATA KAMA HAZINA USHAHIDI, WAONDOSHWE WAENDE CCM.
Huyo mrema ni takataka kabisa aondoke tu.Sioni tatizo kama Mnyika na Mrema wakiendelea kubaki kwenye uongozi wa CDM as long as wabeba maono ndio wamepita