Tetesi: Godbless Lema huenda akawa Katibu Mkuu ajaye wa CHADEMA

Ni Yeye, ila Mnyika tuondoke naye pia ni MTU mzuri.

Kigaila na Genge lake watafutiwe KWA LAZIMA TUHUMA ZOZOTE HATA KAMA HAZINA USHAHIDI, WAONDOSHWE WAENDE CCM.
Saaahizi wanaiba mabaki ya pesa za chadema wafungue biashara na mwenyekiti mstaafu
 
Kitakuwa ni chama Cha hovyo kuwahi kutoka duniani
 
Nabii Lema ajiandae kugombania Jimbo la Arusha.
 
sawa, isipokuwa asimuache john mnyika, bado anahitajika sana kwenye menejimenti ya chama hicho. amteue katika nafasi yoyote ile hapa Makao makuu
Katibu Mkuu awe GL.
Hiyo safu ya juu yote inapaswa ibadilike ili kuwe na utofauti wa kiutendaji. Kumbuka chama ni Katibu Mkuu.
Katibu Mkuu ndiye mtendaji Mkuu wa chama, ndiyo maana anateuliwa na wala hachaguliwi
 
Tukusaidie nini sasa? Kama unamuhitaji mbowe mfate kwake ukawe mpishi wake
 
Kwa hiyo ulitaka chama kisiwe na Sekretarieti kisa kuna ulaji?
Mshahara ni haki ya kila mfanyakazi katika eneo lake
 
Why not
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…