Tetesi: Godbless Lema huenda akawa Katibu Mkuu ajaye wa CHADEMA

Tetesi: Godbless Lema huenda akawa Katibu Mkuu ajaye wa CHADEMA

Screenshot_20250122_142025_WhatsApp.jpg
 
Tatizo hamjui muundo wa CCM na serikali!
Mnaona kushika Dola ni Sasa na kushika sangara ziwani.
 
Huyu mwamba ameonesha ukomavu mkubwa kwenye kampeni za kupambania team Lissu na Heche hadi kusimamia hesabu za ushindi.

Haiyumkiniki, Mwenyekiti Lissu atampendekeza katika nafasi ya Katibu Mkuu ili kukijenga upya Chama ambacho kilishaanza kupoteza umaarufu wake baada ya Mbowe kuonesha wazi kushikamana na Samia na CCM yake.

View attachment 3209792

Tuendelee kuiunga mkono CHADEMA.
CHADEMA ni mpango wa Mungu
Screenshot_20250122_142025_WhatsApp.jpg
 
Back
Top Bottom