Pre GE2025 Godbless Lema: Je, pesa za rushwa leo zinatoka wapi? Na wanaotoa pesa wananunua kura kwa kazi isiyo na mshahara?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Una shida ya afya ya akili, hujutambui 😅😅😅🤣🤣🤸🤸
 
Lemma mbona hatoi unabii?
 
Na wewe utukome, nani akatae hela hii January? Wewe kila mwezi unavuta maelfu ya dola kutoka kwa wazungu kwa hifadhi ya ukimbizi.

Yaani baada ya mkutano nikiwa narudi nyumbani, lazima nipitie mifuko ya simenti na bati
Pesa tutakula na kura hawapati hao madalali wa siasa.
Tunayo machungu sana ya kuondokewa ndugu na rafiki zetu kisa ukombozi wa pili wa nchi hii halafu wapumbavu wachache wanakula na watesi wetu.
Kila ninapopita Pale Buselesele Katoro mahali alipouawa Kamanda Mawazo napataga hasira sana.
 
Safi sana Lemma
 
Wajinga hawa wanadhani kila mtu anawaelewa, Lisu hatufai.

Alete ushahidi au aondoke chadema, akaanzishe chama chake cha wana mihemko.

Chadema itakufa chini ya Lisu. Kama kawaida Team Lisu watasema Mbowe ndiye kaiua.
 
Daaah CHADEMA
 
Lema, tuambie kwanza pesa za join the chain zipo wapi?
 
Lemma anaakili sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…