Pre GE2025 Godbless Lema: Je, pesa za rushwa leo zinatoka wapi? Na wanaotoa pesa wananunua kura kwa kazi isiyo na mshahara?

Pre GE2025 Godbless Lema: Je, pesa za rushwa leo zinatoka wapi? Na wanaotoa pesa wananunua kura kwa kazi isiyo na mshahara?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kwenye kichwa chako situation ya 2019 na 2025 sawa.

Ruzuku ya chama sawa?

Income imeshuka, lakini expenditure ziko pale pale, plus inflation adjustments (bei ya guest, nauli, chakula, usafiri vyote vimepanda).

Changia na wewe, naah mimi siwezi Iła nataka uongozi.

Wafuasi wa Lissu akili zenu zinawatosha wenyewe.

Kosa kubwa atakalofanya Mbowe ni kumuachia huyo taahira Lissu chama, hana clue ya changamoto za finance ya chama.
Kwani Mbowe akiwa nje ya nafasi ya mkt akawa mfadhili, Lissu akiwa mkt Kuna tatizo Gani hapo?
 
View attachment 3198366
====
Swali moja la msingi kwa WAJUMBE wa CHADEMA ni hili ,

Ikiwa utapewa pesa , usafiri , pombe na chakula wakati huu lakini hukuletewa pesa wakati wa uchaguzi wa serikali za Mitaa , Kijiji na Vitongoji ,

Je hizo pesa sasa zinatoka wapi ? Na wanaotoa pesa wananunua kura kwa sababu gani kwa kazi isiyo hata na mshahara ?

CHADEMA sio duka wala Bar ni taasisi ya walioumizwa Wajumbe sikilizeni , hiki CHAMA kina damu za rafiki zenu , maumivu makubwa na mateso kwa watu wengi,

Msilaani maisha yenu kwa starehe na rushwa za muda mfupi.

Sasa basi wakileta pesa kula , kunywa halafu waadhibu katika boksi la kura.

Nyie sio Blue Band wakubebwa kama Maboksi.

Sikilizeni, Upinzani ni tabia njema na sio rangi za nguo.

Msiue matumaini ya Taifa kwa kushindwa kutofautisha tabia zetu na CCM.

Godbless Lemma,
CHADEMA inanuka rushwa?
 
Kama ni kweli basi mimi ningetarajia Watanzania wote wenye akili timamu washituke sana kuwa hizo 12B ZIMETOKA WAPI? Hilo ndilo linatakiwa kuwa swali namba moja - kabla ya mengine yote!

Hakuna mtu mwenye kipato halali Tanzania cha kumuwezesha kugawa rushwa ya 12B. Hata kwa mafisadi sio rahisi kutoa kiasi hicho toka kwenye mapato yao. Hata taasisi zenye bajeti kubwa zikitoa kiasi hicho zitatetereka na hata kuweza kufa.

Kama kweli hela za namna hiyo zinatolewa kama hongo halafu watu wanahangaika na nani “KANUNULIKA” kwenye siasa badala ya huyo “MWIZI MKUU” Basi kweli hii ni nchi ya maiti zinazotembea.
12b imetoka hazina,ni kodi zetu. Hata hayo mamia ya mamilioni anayogawa kwa matapeli kima bulldozer wa Kawe na yule Kuhani Moses juzi kapewa 100m zote ni kodi zetu
 
Attachments

  • images (13) (1)~2.jpeg
    images (13) (1)~2.jpeg
    16.3 KB · Views: 2
Ishu ni kuwa unatetea jambo usilolijua,sisi tupo humu ndani tunajua na tunaelewa kuwa kwa sasa Mbowe ni project ya CCM ndiyo maana maccm mnampigania sana mtu wenu. Ila atanyooshwa tarehe 21,hel zitaliwa na kura atanyimwa hadi sana tunajua hadi idadi ya kura zetu na kila atakayetupigia kura tunamjua. Pigeni kelele muwezavyo lakini chama kitabaki kuwa salama.
Kwanza turudi kwenye uhalisia wa costs za uchaguzi hao wajumbe wanapaa kwa rukuzu ya CDM wanayopata au kunahitajika external funding source ili uchaguzi ufanyike.

Pili ukiambiwa ulete hesabu za makusanyo ya (hadhara + ruzuku - wages - admin cost - election costs - other cost) sidhani kama unazo hizo info za ku-justify hoja yako.

Ni hivi mimi ninataka kuona upinzani unaoimarika na Lissu sio mtu sahihi; Mbowe kachelewa tu kutengeneza potential successor. Lakini Lissu hana leadership qualities.
 
.Lakini Lissu hana leadership qualities
 
Kwani Mbowe akiwa nje ya nafasi ya mkt akawa mfadhili, Lissu akiwa mkt Kuna tatizo Gani hapo?
Sometimes ‘axis of adults’ inabidi watoe opinion ya madhara ya maamuzi na wanapoweza zuia wanafanya hivyo.

Pasipo na uwezo wao it’s fate, Lakini Lissu plan zake ni zakufirika tu not game changer kwa sababu hana hiyo public support anayodhani (case study ni mikusanyiko ya mikutano yake baada ya kupewa kibali), worst ameonyesha sio team player and he lacks leadership skills.

Mengine ni ya wajumbe kuamua; hapa tunatoa opinion tu, Mbowe aandae warithi sasa; Lakini Lissu hana qualities za leadership.
 
Back
Top Bottom