MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
Lema kalogwa na mnyampaa... mmachame kumkataa mmachame mwenzake ni maajabu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na kibaya zaidi ni kuwa hiyo hela inatoka CCM
Huyu mpuuzi nae amekuwa kama kinyonga haeleweki kabisa.View attachment 3198366
====
Swali moja la msingi kwa WAJUMBE wa CHADEMA ni hili ,
Ikiwa utapewa pesa , usafiri , pombe na chakula wakati huu lakini hukuletewa pesa wakati wa uchaguzi wa serikali za Mitaa , Kijiji na Vitongoji ,
Je hizo pesa sasa zinatoka wapi ? Na wanaotoa pesa wananunua kura kwa sababu gani kwa kazi isiyo hata na mshahara ?
CHADEMA sio duka wala Bar ni taasisi ya walioumizwa Wajumbe sikilizeni , hiki CHAMA kina damu za rafiki zenu , maumivu makubwa na mateso kwa watu wengi,
Msilaani maisha yenu kwa starehe na rushwa za muda mfupi.
Sasa basi wakileta pesa kula , kunywa halafu waadhibu katika boksi la kura.
Nyie sio Blue Band wakubebwa kama Maboksi.
Sikilizeni, Upinzani ni tabia njema na sio rangi za nguo.
Msiue matumaini ya Taifa kwa kushindwa kutofautisha tabia zetu na CCM.
Godbless Lemma,
Lema kalogwa na mnyampaa... mmachame kumkataa mmachame mwenzake ni maajabu.
Kwenye kichwa chako situation ya 2019 na 2025 sawa.Kwani hii ni mara ya kwanza mkutano mkuu kufanyika? Wewe uko ughaibuni hujui yanayoendelea ndani ya Chadema umeamua tu kuchukua upande.
Unathibitisha kuwa hazikutoshi kichwani, una Akili za kuvukia barabara tu, acha mihemko wewe MWANAMKE!!Taahira mwingine, unajua hao wapiga kura 1300 wa CDM wanafika vipi dar ili quorom ya uchaguzi itoshe.
Ni watoto tu ambao mnaishi lala land kama huyo Lissu.
Usingeweza andika kingine zaidi ya hiko, ndio mwisho wa akili zako (I get that).Unathibitisha kuwa hazikutoshi kichwani, una Akili za kuvukia barabara tu, acha mihemko wewe MWANAMKE!!
🤔🤔🚴🚴
Kweli CHADEMA ya Mbowe haitakuwa tena na legacy ya kukemea rushwaBado ile 12B ambayo ni tetesi toka Twitter inaleta matatizo 🤣
Ila 12B sio pesa ya kitoto 🤣
Wewe ni taahira usiyejua kilichoko huku. Mbowe siye anayemuachia chama Lissu bali wajumbe 1200 ndiyo watafanya maamuzi hayo,hivi shule ulienda kusomea ujuha?Kwenye kichwa chako situation ya 2019 na 2025 sawa.
Ruzuku ya chama sawa?
Income imeshuka, lakini expenditure ziko pale pale, plus inflation adjustments (bei ya guest, nauli, chakula, usafiri vyote vimepanda).
Changia na wewe, naah mimi siwezi Iła nataka uongozi.
Wafuasi wa Lissu akili zenu zinawatosha wenyewe.
Kosa kubwa atakalofanya Mbowe ni kumuachia huyo taahira Lissu chama, hana clue ya changamoto za finance ya chama.
Jibu ni jepesi sana! CHADEMA iliyolala ndiyo tiketi kwa CCM kuendelea kula keki ya taifa.View attachment 3198366
====
Swali moja la msingi kwa WAJUMBE wa CHADEMA ni hili ,
Ikiwa utapewa pesa , usafiri , pombe na chakula wakati huu lakini hukuletewa pesa wakati wa uchaguzi wa serikali za Mitaa , Kijiji na Vitongoji ,
Je hizo pesa sasa zinatoka wapi ? Na wanaotoa pesa wananunua kura kwa sababu gani kwa kazi isiyo hata na mshahara ?
CHADEMA sio duka wala Bar ni taasisi ya walioumizwa Wajumbe sikilizeni , hiki CHAMA kina damu za rafiki zenu , maumivu makubwa na mateso kwa watu wengi,
Msilaani maisha yenu kwa starehe na rushwa za muda mfupi.
Sasa basi wakileta pesa kula , kunywa halafu waadhibu katika boksi la kura.
Nyie sio Blue Band wakubebwa kama Maboksi.
Sikilizeni, Upinzani ni tabia njema na sio rangi za nguo.
Msiue matumaini ya Taifa kwa kushindwa kutofautisha tabia zetu na CCM.
Godbless Lemma,
Na hao wajumbe wanafika kwenye huo mkutano na kurudi makwao kwa kupaa na ungo, wakifika huko wanalala barabarani na kula kwa kuokota majalalani.Wewe ni taahira usiyejua kilichoko huku. Mbowe siye anayemuachia chama Lissu bali wajumbe 1200 ndiyo watafanya maamuzi hayi,hivi shule ulienda kusomea ujuha?
12B sio pesa ya kitoto 🤣Kweli CHADEMA ya Mbowe haitakuwa tena na legacy ya kukemea rushwa
12B inasabisha mambo yawe 🔥🔥Yaani mambo ni 🔥 kweli kweli.
Chama hakikujiandaa na uchaguziUnaonekana wengi hawajapenda mbowe kigombea ila anaogopeka ndani ya chama
Ukimya wa Lema nimeupenda Sana,anajielewa.
mjinga mmoja hivi matyako weNi watu walioshiwa fikra, miaka yote CDM imekuwa ikilazimika kutoa posho watu kuhudhuria hivi vikao vya uchaguzi ili democracy ifanye kazi.
Wao wamegoma kuchangia (wakipewa hela na wazungu wanaweka kibindoni). Sasa hivi wanataka kutumia hiyo fursa baada ya wenzao kutafuta hela kuita; hongo.
CDM isipotoa posho za wajumbe na kuwataka waende wenyewe kwa hela zao, wasiokuwa na hela wasipofika, quorom isitoshe, akishinda wasiemtaka. Mataahira kama Lissu et al watasema kashinda kisa wajumbe wengine hawakufika kwenye mkutano.
Damn if you do? damn if you don’t.
Kosa kubwa atakalofanya Mbowe ni kuwaachia chama hawa mataahira; hawana leadership acumen/skills za kuendesha taasisi.
Sasa hivi unaona kumbe Mbowe alikuwa kiungo mkubwa sana, kwa stability ya CDM.