Ni watu walioshiwa fikra, miaka yote CDM imekuwa ikilazimika kutoa posho watu kuhudhuria hivi vikao vya uchaguzi ili democracy ifanye kazi.
Wao wamegoma kuchangia (wakipewa hela na wazungu wanaweka kibindoni). Sasa hivi wanataka kutumia hiyo fursa baada ya wenzao kutafuta hela kuita; hongo.
CDM isipotoa posho za wajumbe na kuwataka waende wenyewe kwa hela zao, wasiokuwa na hela wasipofika, quorom isitoshe, akishinda wasiemtaka. Mataahira kama Lissu et al watasema kashinda kisa wajumbe wengine hawakufika kwenye mkutano.
Damn if you do? damn if you don’t.
Kosa kubwa atakalofanya Mbowe ni kuwaachia chama hawa mataahira; hawana leadership acumen/skills za kuendesha taasisi.
Sasa hivi unaona kumbe Mbowe alikuwa kiungo mkubwa sana, kwa stability ya CDM.