Elimu bila akili ni sawa na choo bila mlango by Godbless LemaNimetafakari sana baada ya tukio la Rais kufia madarakani. Nafasi ya Makamu wa Rais ni lazima ijazwe kwa HEKIMA/BUSARA/ UWEZO na sio UDINI,UKANDA,UKABILA. Katiba yetu imeweka mtego mbaya sana kwamba Rais akifa anayekuwa Rais ni Makamu wa Rais mara moja.
Kama UKANDA/UKABILA/UDINI utaamua VP na sio uwezo basi kuna siku tunaweza kujikuta tuna Rais kama RC Mbeya. Ni muhimu kuheshimu UWEZO, hapa simaanishi elimu tu. Prof Kabudi ni zao la utafiti mzuri kuwa elimu bila akili ni sawa na choo bila mlango. CCM amueni kwa ajili ya Nchi.
Godbless Lema.
Ushauri wa Lema ni kuntu sana!Nimependa huo mfano wa RC wa Mbeya π€£π€£π€£
Msitari mzito sana huoKama UKANDA/UKABILA/UDINI utaamua VP na sio uwezo basi kuna siku tunaweza kujikuta tuna Rais kama RC Mbeya
πππππππ
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Elimu bila akili ni sawa na choo bila mlango by Godbless Lema
Nimecheka sana!
Nakazia hapoProf Kabudi ni zao la utafiti mzuri kuwa elimu bila akili ni sawa na choo bila mlango.
Pokeeni ushauri...Uzuri wa upinzani wa Bongo kubadilika badilika ni rahisi sana.