Godbless Lema: Makamu wa Rais ni Rais mtarajiwa, CCM amueni kwa busara

Godbless Lema: Makamu wa Rais ni Rais mtarajiwa, CCM amueni kwa busara

Wee pumba kweli! Sidhani kama umeelewa kilichoshauriwa. Au, ulivyosoma tu jina la aliyetoa ushauri, basi umekurupuka na kuandika ulichoandika. Usitishwe na RANGI YA KITABU. Soma maandishi yaliyoandikwa ndani!
Umenena kweli iliyo tupu mkuu!
 
Imebidi nisogee pembeni Kidogo kwa waombolezaji ili Nicheke hahaha huo mfano wa RC mbeya na Mzee wa jalalani umenichekesha sana, Kwangu mzee wa jalalani amalize muda wake wa ubunge akale vumbi jalalani uko
 
Sasa Lema anashauri kama nani mana hata serikali iliyopo madarakani hawatambui uhalali wake, Kweli ukiona Choo ndotoni hupaswi kukitumia, Huu ushauri ni trash Ccm ni strongest institute kupata kutokea tangu taifa ili lianzishwe ndio taaisi iliyo sheheni experts wa kila namna, Lema atulie sasa wajipange 2025 kuliko kuelekeza nguvu kushauri taasisi imara kama ccm
 
Huo ushauri angeutoa ndani ya chama chake ingependeza
 
Mtu mwenye hekima hupokea ushauri lkn halazimishwi kuufuata, Lema kashauri amueni kwa busara kama mtaona hakuna haja ya kutumia busara sawa.
 
Huo ushauri angeutoa ndani ya chama chake ingependeza
Kwani CHADEMA ndio inaunda serikali? Ushauri wake ni mzuri kwakuwa mtu akishakuwa RAIS anakuwa ni wa wote na si RAIS wa CCM pekee. Hivyo huu ushauri alioutoa sidhani kama umekaa kinafiki isipokuwa tu umetolewa na mtu mwenye mlengo tofauti na CCM. Hiyo ndio shida.
 
Back
Top Bottom