Halaiser
JF-Expert Member
- Apr 3, 2014
- 4,230
- 6,653
Choo bila mlango [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Prof Kabudi ni zao la....[emoji2960][emoji2960][emoji2960]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Choo bila mlango [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Prof Kabudi ni zao la....[emoji2960][emoji2960][emoji2960]
Wachawi mmeanza sasa
Ccm Ina taratibu zake, haiwezi kupokea maelekezo toka kwa makada wa chadema
Miezi michache nyuma, Kabudi alikuwa anatukanwa na kukejeliwa
Mwenyekiti Magufuli Mungu amrehemu, alishatoa muelekeo wa chama namna ya kutoa viongozi baada ya uchaguzi wa 2020, mtu Kama kabudi, Lukuvi wanatupwa nje dimba sababu tu ya umri wao
Uzuri wa upinzani wa Bongo kubadilika badilika ni rahisi sana.
Mbona Mh Lema aliwahi kuwashauri sana tu? Hajawahi kuwaambia jengeni mifumo imara na siyo mtu.Toka lini CHADEMA wameanza kuishauri CCM !!???
Hii nimeipenda sana. Natawafundisha hadi Wajukuu zangu Mungu akinijalia.Prof Kabudi ni zao la utafiti mzuri kuwa elimu Bila akili ni sawa na Choo Bila mlango.
Ushauri wa Lema ni wa kuijenga zaidi CCM!
Hujui maana ya unafiki kukimbia deni sio unafiki, unafiki (hypocrisy), mnafiki ni mtu anayejua kabisa hili jambo sio sahihi lina madhara lkn bado analifanya, kutenda jambo kinyume na dhamiri ya moyo wako, ref. Kabudi, Bashiru, Polepole.Mnafki ni yule aliekimbia madeni kisha akasingizia anataka kuuwawa.
"" elimu bila akili ni sawa na choo bila mlango"""ahaaaaNimetafakari sana baada ya tukio la Rais kufia madarakani. Nafasi ya Makamu wa Rais ni lazima ijazwe kwa HEKIMA/BUSARA/ UWEZO na sio UDINI, UKANDA, UKABILA. Katiba yetu imeweka mtego mbaya sana kwamba Rais akifa anayekuwa Rais ni Makamu wa Rais mara moja.
Kama UKANDA/UKABILA/UDINI utaamua VP na sio uwezo basi kuna siku tunaweza kujikuta tuna Rais kama RC Mbeya. Ni muhimu pia kuheshimu UWEZO, hapa simaanishi elimu tu. Prof Kabudi ni zao la utafiti mzuri kuwa elimu bila akili ni sawa na choo bila mlango. CCM amueni kwa ajili ya Nchi.
Godbless Lema.
Ila CHADEMA! Kuizungumzia Serikali haitoshi sasa mnaanza kutaka kuwapangia na Chama kingineNimetafakari sana baada ya tukio la Rais kufia madarakani. Nafasi ya Makamu wa Rais ni lazima ijazwe kwa HEKIMA/BUSARA/ UWEZO na sio UDINI, UKANDA, UKABILA. Katiba yetu imeweka mtego mbaya sana kwamba Rais akifa anayekuwa Rais ni Makamu wa Rais mara moja.
Kama UKANDA/UKABILA/UDINI utaamua VP na sio uwezo basi kuna siku tunaweza kujikuta tuna Rais kama RC Mbeya. Ni muhimu pia kuheshimu UWEZO, hapa simaanishi elimu tu. Prof Kabudi ni zao la utafiti mzuri kuwa elimu bila akili ni sawa na choo bila mlango. CCM amueni kwa ajili ya Nchi.
Godbless Lema.
Akuna mnafki mkubwa kumzidi Lema,aitambui serikali lakini anakiherehere cha kujifanya anaishauri.Hujui maana ya unafiki kukimbia deni sio unafiki, unafiki (hypocrisy), mnafiki ni mtu anayejua kabisa hili jambo sio sahihi lina madhara lkn bado analifanya, kutenda jambo kinyume na dhamiri ya moyo wako, ref. Kabudi, Bashiru, Polepole.
Naupenda ubadilike tena kwa kasi, kama walivyobadilika wakina Balozi Slaa na wengine.Ulitaka ubaki static?
wewe sasa hujuiHata Chalamila ikija kutokea akawa Rais tunakutegemea mzee dua na sala zako zitafanya kazi kwa hiyo hatuna wasiwasi
Kwa hiyo ni Magufuli ndie aliyemdanganya atuambie kuwa Bia mbili zinatibu coronawewe sasa hujui
huyu jamaa ni mtendaj haswa.hiv unajua ukitaka kuwa na sifa kubwa ya Jpm ni kufuatilia kila kitu na kupata taarifa ya kila jambo na kuamua hapo hapo hakuna cha michakatoo michakatooo tunachakataaaa sijui fisibiliti stadi sijui nini,
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakubaliana na wewe kuwa utawala haujabadilika kwa sababu instruments of power (polisi, mahakama, diplomacy, uchumi, nk) alizokuwa anatumia Magufuli bado ni zile zile, pamoja na nia nzuri ya mama kuhubiri maridhiano lkn atapata tabu sana kupambana na mfumo.Kwan utawala umebadilika?
Acheni kujidanganya ,as long as ccm inatawala,msitegemee chochote
Bashiru yupo,Ndugai yupo,majaliwa yupo,Mwinyi yupo,kikwete yupo Mangula yupo,Samia ndio yule yule aliewasulubu kwenye bunge la Katiba,nawaangalia tu,muda si mrefu mtaanza kumtukana,hata kwa Magufuli mwanzo mlisema anaiga Sera zenu,mkaishia kunywa mvinyo kushangilia kifo chake
[emoji28]....kwa hiyo Salum Mwalimu ndio angekuwa Rais kwa sasa!
Huo ni mfano halisiNimependa huo mfano wa RC wa Mbeya 🤣🤣🤣