Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Jikite kwenye mada weweRc mbeya na aliyekuwa mbunge wa mbeya mjini nan bora?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jikite kwenye mada weweRc mbeya na aliyekuwa mbunge wa mbeya mjini nan bora?
Miaka mingi tu tatizo lako hupo makiniToka lini CHADEMA wameanza kuishauri CCM !!???
wewe sasa hujui
huyu jamaa ni mtendaj haswa.hiv unajua ukitaka kuwa na sifa kubwa ya Jpm ni kufuatilia kila kitu na kupata taarifa ya kila jambo na kuamua hapo hapo hakuna cha michakatoo michakatooo tunachakataaaa sijui fisibiliti stadi sijui nini,
Sent using Jamii Forums mobile app
Ina maana Profesa ana elimu lakini hana akili?Nimetafakari sana baada ya tukio la Rais kufia madarakani. Nafasi ya Makamu wa Rais ni lazima ijazwe kwa HEKIMA/BUSARA/ UWEZO na sio UDINI, UKANDA, UKABILA. Katiba yetu imeweka mtego mbaya sana kwamba Rais akifa anayekuwa Rais ni Makamu wa Rais mara moja.
Kama UKANDA/UKABILA/UDINI utaamua VP na sio uwezo basi kuna siku tunaweza kujikuta tuna Rais kama RC Mbeya. Ni muhimu pia kuheshimu UWEZO, hapa simaanishi elimu tu. Prof Kabudi ni zao la utafiti mzuri kuwa elimu bila akili ni sawa na choo bila mlango. CCM amueni kwa ajili ya Nchi.
Godbless Lema.
Mada IPI umeiona hapo?ukiamua kufanansha akili za MTU unafanansha za watu weng? Lema ana akili gani?wewe kila kitu cua upinzani unakichukua unaweka kwenye boxi lako lakuhifadhia meno.kama hukufukuzwa kwa vyeti feki,ni ndugu yako au mama yako.you are so bitter na sio uchungu was nchi.Jikite kwenye mada wewe
Msomi asiye kuwa na akiliProf Kabudi ni zao la....[emoji2960][emoji2960][emoji2960]
Ni ushauri siyo maelekezo mkuu na ni kwa rais siyo kwa ccmWachawi mmeanza sasa
Ccm Ina taratibu zake, haiwezi kupokea maelekezo toka kwa makada wa chadema
Miezi michache nyuma, Kabudi alikuwa anatukanwa na kukejeliwa
Mwenyekiti Magufuli Mungu amrehemu, alishatoa muelekeo wa chama namna ya kutoa viongozi baada ya uchaguzi wa 2020, mtu Kama kabudi, Lukuvi wanatupwa nje dimba sababu tu ya umri wao
RC Chalamila, Paul Makonda, Lazaro Mambosasa, DC Ole Sabaya hakika watakufa vifo vibaya. Kama kuna ndugu zao wanasoma JF waaambie wakatubu.Hata Chalamila ikija kutokea akawa Rais tunakutegemea mzee dua na sala zako zitafanya kazi kwa hiyo hatuna wasiwasi
Akili zenu misukule ya CCM ni za ajabu kweli. Hapo hiyo mifano hujaelewa,na hasa huo wa Kabudi. Hajamaanisha hivyo ulivyoelewa wewe tabularasa.Wachawi mmeanza sasa
Ccm Ina taratibu zake, haiwezi kupokea maelekezo toka kwa makada wa chadema
Miezi michache nyuma, Kabudi alikuwa anatukanwa na kukejeliwa
Mwenyekiti Magufuli Mungu amrehemu, alishatoa muelekeo wa chama namna ya kutoa viongozi baada ya uchaguzi wa 2020, mtu Kama kabudi, Lukuvi wanatupwa nje dimba sababu tu ya umri wao
Don't underrate uwezo wa Salum Mwalimu. Kuna mengi hujui kumhusu yeye Ila umeamua kusoma kitabu ukaishia kwenye cover tu.CCM busara ipo. Ndio maana Magufuli alimchagua Samia Suluhu Hassan kuwa makamamu wake
Kazi ingekua kama Tundu angekua ndio Magufuli leo halafu yule makamu wake ndio awe Samia 👣👣
Kwa taarifa yako tuu namjua Salum sanaaa, sio kwa kuambiwa bali kwa kuwa nae kwenye shughuli za kila siku kuanzia asubuhi hadi jioni zaidi ya miaka5Don't underrate uwezo wa Salum Mwalimu. Kuna mengi hujui kumhusu yeye Ila umeamua kusoma kitabu ukaishia kwenye cover tu.
Inawezekana kabisa... Maana wamechanganyikiwa kabisa..Si ajabu Lema anatumika na wanaotaka umakamu.Lakini ni ajabu kabisa kwamba akina Lema leo wanaishauri CCM.Juzi tu Zito kasema alitoa mchango mkubwa kwa kushinikiza Samia akabidhiwe urais baada ya kubaini kuna njama kufanya kinyume cha katiba.
Uongo wa namna hii haukubaliki kabisa.Yaani CCM ifanye maamuzi kwa shinikizo la Zito!!!