Wewe hata hujui kilichofanyika, Magufuli alimchagua Samia wapi. Marais wote wapya wanapoingia madarakani makamu wao wanapewa na rais anayeondoka huo ndio ukweli. Samia hakua chaguo la Magufuli.CCM busara ipo. Ndio maana Magufuli alimchagua Samia Suluhu Hassan kuwa makamamu wake
Kazi ingekua kama Tundu angekua ndio Magufuli leo halafu yule makamu wake ndio awe Samia 👣👣
Hawakuwa askari wa taifa hili. Wale ni wahuni tuu mliokua mmewatuma mnavyojua kuhujumianaKwa hiyo unataka kutuambia wale waliomkosa Lissu walifukuzwa kazi na waliobaki hawatarudia kosa? Mbona mnazidi kumharibia badala ya kumjenga.
Rais Samia amesema tusahau yaliyopita lakini nyinyi mnakazania kukumbusha. Hamumtakii mema.
Amandla...
Mara ya pili ulimchagulia wewe?!Wewe hata hujui kilichofanyika, Magufuli alimchagua Samia wapi. Marais wote wapya wanapoingia madarakani makamu wao wanapewa na rais anayeondoka huo ndio ukweli. Samia hakua chaguo la Magufuli.
Wapigaji risasi ndio hao wametangulia huku waliowapiga risasi wakingali hai, mnaona Mungu alivyo wa ajabu....!!Rais Samia alishawaambia tangu akiwa makamu kwamba serikali ya chama chake haiwezi kuwa na askari wanaokosa risasi tatu bado wakaendelea kuwa kazini.
Ni bora mshirikiane na vyombo vya dola kutafuta aliyempiga tundu risasi kuliko kukimbia nchi na kutumia hilo tukio kutafuta umaarufu na kuichafua nchi yetu
Wakati wa kampeni hamkuzijua hizo skype na zoom?Mbona mnatufanya watu wote kuwa ni wajinga. Hivi watu wote wanaouawa upelezi haufanyiki kwa sababu wamekufa? Lissu alikuwa Nairobi, mlishindwa nini kumfuata? Amehamia Ubelgiji mmeshindwa nini kumfuata? Amekuja kugombea Urais, mmeshindwa nini kumuuliza kulitokea nini? Huu wakati wa Zoom na Skype mnashindwa nini kumhoji mtu yeyote kokote kule alipo? You dropped the ball on this one.
Amandla...
Kwani Chadema ndio iliyokuwa inapaswa kufanya uchunguzi wa tukio la kupigwa risasi Lissu? Mbona mnajiumbua?Wakati wa kampeni hamkuzijua hizo skype na zoom?
Sasa inakuwaje dola inashindwa kuwapata hao unaowaita wahuni? Askari wetu wenye weledi mkubwa hivyo wanashindwa kweli kukamata vibaka? Au hata kujua tu nani alihusika? Pamoja na kuwa tukio limefanyika mchana kwenye sehemu ambayo ilikuwa chini la ulinzi wao! Au hawataki tu kutoa fundisho kwa wahuni hao ili wasikubali tena kutumika na Chadema kufanya uovu?Hawakuwa askari wa taifa hili. Wale ni wahuni tuu mliokua mmewatuma mnavyojua kuhujumiana
Nimetafakari sana baada ya tukio la Rais kufia madarakani. Nafasi ya Makamu wa Rais ni lazima ijazwe kwa HEKIMA/BUSARA/ UWEZO na sio UDINI, UKANDA, UKABILA. Katiba yetu imeweka mtego mbaya sana kwamba Rais akifa anayekuwa Rais ni Makamu wa Rais mara moja.
Kama UKANDA/UKABILA/UDINI utaamua VP na sio uwezo basi kuna siku tunaweza kujikuta tuna Rais kama RC Mbeya. Ni muhimu pia kuheshimu UWEZO, hapa simaanishi elimu tu. Prof Kabudi ni zao la utafiti mzuri kuwa elimu bila akili ni sawa na choo bila mlango. CCM amueni kwa ajili ya Nchi.
Godbless Lema.
Tangu tarehe 17 mwezi march Tanzania imekumbwa na simanzi isiyo na kifani mara baada ya kutangazwa kwa kifo cha rais Magufuli.Nimetafakari sana baada ya tukio la Rais kufia madarakani. Nafasi ya Makamu wa Rais ni lazima ijazwe kwa HEKIMA/BUSARA/ UWEZO na sio UDINI, UKANDA, UKABILA. Katiba yetu imeweka mtego mbaya sana kwamba Rais akifa anayekuwa Rais ni Makamu wa Rais mara moja.
Kama UKANDA/UKABILA/UDINI utaamua VP na sio uwezo basi kuna siku tunaweza kujikuta tuna Rais kama RC Mbeya. Ni muhimu pia kuheshimu UWEZO, hapa simaanishi elimu tu. Prof Kabudi ni zao la utafiti mzuri kuwa elimu bila akili ni sawa na choo bila mlango. CCM amueni kwa ajili ya Nchi.
Godbless Lema.
Wakumbuke kuna wengine wao hawaruhusiwi kufika kwenye nchi za wenyewe wanawaita mabeberuNimetafakari sana baada ya tukio la Rais kufia madarakani. Nafasi ya Makamu wa Rais ni lazima ijazwe kwa HEKIMA/BUSARA/ UWEZO na sio UDINI, UKANDA, UKABILA. Katiba yetu imeweka mtego mbaya sana kwamba Rais akifa anayekuwa Rais ni Makamu wa Rais mara moja.
Kama UKANDA/UKABILA/UDINI utaamua VP na sio uwezo basi kuna siku tunaweza kujikuta tuna Rais kama RC Mbeya. Ni muhimu pia kuheshimu UWEZO, hapa simaanishi elimu tu. Prof Kabudi ni zao la utafiti mzuri kuwa elimu bila akili ni sawa na choo bila mlango. CCM amueni kwa ajili ya Nchi.
Godbless Lema.
Mbona unakuwa kama mtopolo vile ilhali wewe ni munyama?Iyo picha ya chini mwisho ni G.Lema anakuna nazi.
Tazama kwa umakini utagundua.
Wewe ni mgeni na siasa za tanzania...Toka lini CHADEMA wameanza kuishauri CCM !!???
Hoja na lugha uliyotumia ni dhahiri una tatizo la utindio, jisalimishe kwa matibabuNimetafakari sana baada ya tukio la Rais kufia madarakani. Nafasi ya Makamu wa Rais ni lazima ijazwe kwa HEKIMA/BUSARA/ UWEZO na sio UDINI, UKANDA, UKABILA. Katiba yetu imeweka mtego mbaya sana kwamba Rais akifa anayekuwa Rais ni Makamu wa Rais mara moja.
Kama UKANDA/UKABILA/UDINI utaamua VP na sio uwezo basi kuna siku tunaweza kujikuta tuna Rais kama RC Mbeya. Ni muhimu pia kuheshimu UWEZO, hapa simaanishi elimu tu. Prof Kabudi ni zao la utafiti mzuri kuwa elimu bila akili ni sawa na choo bila mlango. CCM amueni kwa ajili ya Nchi.
Godbless Lema.
Tatizo hutaki kuelewa alichokimaanisha.... Tumia ubongo wako kujifikirishaSasa huyo RC wa mbeya ameingizwaje humo kwenye ushauri wa huyu ndugu yake Miguna Miguna