Godbless Lema: Makamu wa Rais ni Rais mtarajiwa, CCM amueni kwa busara

Godbless Lema: Makamu wa Rais ni Rais mtarajiwa, CCM amueni kwa busara

CCM busara ipo. Ndio maana Magufuli alimchagua Samia Suluhu Hassan kuwa makamamu wake

Kazi ingekua kama Tundu angekua ndio Magufuli leo halafu yule makamu wake ndio awe Samia 👣👣
Wewe hata hujui kilichofanyika, Magufuli alimchagua Samia wapi. Marais wote wapya wanapoingia madarakani makamu wao wanapewa na rais anayeondoka huo ndio ukweli. Samia hakua chaguo la Magufuli.
 
Kwa hiyo unataka kutuambia wale waliomkosa Lissu walifukuzwa kazi na waliobaki hawatarudia kosa? Mbona mnazidi kumharibia badala ya kumjenga.

Rais Samia amesema tusahau yaliyopita lakini nyinyi mnakazania kukumbusha. Hamumtakii mema.

Amandla...
Hawakuwa askari wa taifa hili. Wale ni wahuni tuu mliokua mmewatuma mnavyojua kuhujumiana
 
Wewe hata hujui kilichofanyika, Magufuli alimchagua Samia wapi. Marais wote wapya wanapoingia madarakani makamu wao wanapewa na rais anayeondoka huo ndio ukweli. Samia hakua chaguo la Magufuli.
Mara ya pili ulimchagulia wewe?!
 
Rais Samia alishawaambia tangu akiwa makamu kwamba serikali ya chama chake haiwezi kuwa na askari wanaokosa risasi tatu bado wakaendelea kuwa kazini.

Ni bora mshirikiane na vyombo vya dola kutafuta aliyempiga tundu risasi kuliko kukimbia nchi na kutumia hilo tukio kutafuta umaarufu na kuichafua nchi yetu
Wapigaji risasi ndio hao wametangulia huku waliowapiga risasi wakingali hai, mnaona Mungu alivyo wa ajabu....!!
 
Mbona mnatufanya watu wote kuwa ni wajinga. Hivi watu wote wanaouawa upelezi haufanyiki kwa sababu wamekufa? Lissu alikuwa Nairobi, mlishindwa nini kumfuata? Amehamia Ubelgiji mmeshindwa nini kumfuata? Amekuja kugombea Urais, mmeshindwa nini kumuuliza kulitokea nini? Huu wakati wa Zoom na Skype mnashindwa nini kumhoji mtu yeyote kokote kule alipo? You dropped the ball on this one.

Amandla...
Wakati wa kampeni hamkuzijua hizo skype na zoom?
 
Hawakuwa askari wa taifa hili. Wale ni wahuni tuu mliokua mmewatuma mnavyojua kuhujumiana
Sasa inakuwaje dola inashindwa kuwapata hao unaowaita wahuni? Askari wetu wenye weledi mkubwa hivyo wanashindwa kweli kukamata vibaka? Au hata kujua tu nani alihusika? Pamoja na kuwa tukio limefanyika mchana kwenye sehemu ambayo ilikuwa chini la ulinzi wao! Au hawataki tu kutoa fundisho kwa wahuni hao ili wasikubali tena kutumika na Chadema kufanya uovu?

Amandla....
 
Nukuu muhimu ya Palamagamba Kabudi inayoshabiana na maono ya Godbless Lema :

Prof. Kabudi atoa wosia tusijiandae kwa cheo chochote, endelea kusikiliza nukuu za kufikirisha za wosia za hekima anazo - 'share' Prof. Palamagamba Kabudi nasi sisi vijana ambazo alizipata toka kwa babaye

KABUDI KUAPISHWA KUWA MAKAMU WA RAIS?/KWA UJASIRI NA UCHAPA KAZI WAKE

Nimetafakari sana baada ya tukio la Rais kufia madarakani. Nafasi ya Makamu wa Rais ni lazima ijazwe kwa HEKIMA/BUSARA/ UWEZO na sio UDINI, UKANDA, UKABILA. Katiba yetu imeweka mtego mbaya sana kwamba Rais akifa anayekuwa Rais ni Makamu wa Rais mara moja.

Kama UKANDA/UKABILA/UDINI utaamua VP na sio uwezo basi kuna siku tunaweza kujikuta tuna Rais kama RC Mbeya. Ni muhimu pia kuheshimu UWEZO, hapa simaanishi elimu tu. Prof Kabudi ni zao la utafiti mzuri kuwa elimu bila akili ni sawa na choo bila mlango. CCM amueni kwa ajili ya Nchi.

Godbless Lema.

Pambana na hali yako ! Life is not simple don't waist time here.
 
Nimetafakari sana baada ya tukio la Rais kufia madarakani. Nafasi ya Makamu wa Rais ni lazima ijazwe kwa HEKIMA/BUSARA/ UWEZO na sio UDINI, UKANDA, UKABILA. Katiba yetu imeweka mtego mbaya sana kwamba Rais akifa anayekuwa Rais ni Makamu wa Rais mara moja.

Kama UKANDA/UKABILA/UDINI utaamua VP na sio uwezo basi kuna siku tunaweza kujikuta tuna Rais kama RC Mbeya. Ni muhimu pia kuheshimu UWEZO, hapa simaanishi elimu tu. Prof Kabudi ni zao la utafiti mzuri kuwa elimu bila akili ni sawa na choo bila mlango. CCM amueni kwa ajili ya Nchi.

Godbless Lema.
Tangu tarehe 17 mwezi march Tanzania imekumbwa na simanzi isiyo na kifani mara baada ya kutangazwa kwa kifo cha rais Magufuli.
Mamilioni ya watanzania wameangua kilio kila kona kwamba sasa mwokozi wao ameondoka, cha kushitusha ni kwamba wananchi wa hali ya chini kabisa ndiyo wanaoongoza kwa kilio kinyume na tulivyokuwa tumeaminishwa kwamba Magufuli alikuwa ananyonga wanyonge!
Kitendo cha hayati rais Magufuli kuagwa na mamilioni ya watanzania huku wakiangua vilio njia nzima na kutandika kanga zao chini ili mwili upite imeenda kinyume kabisa na wasaliti wa nchi hii akina Tundu Lisu na genge lake.

Kwa jinsi msiba huu unavyoenda naamini utakuwa darasa tosha kwa wasaliti wa nchi hii akina Tundu Lisu ,Godbless Lema, Chahali, Ngurumo, Mange Kimambi na wengine wengi, sasa wataelewa kumbe watanzania siyo vilaza.
Wataelewa kumbe watanzania wanajua yupi anapigania haki zao kwa vitendo na ni yupi ni mpiga makelele nyuma ya keyboard.

Kwa mapenzi haya yanayoonyeshwa na Watanzania kwenye msiba huu ni lofa tu atakayeendelea kuamini kwamba eti Tundu Lisu aliibiwa kura kwenye uchaguzi mkuu uliopita.

Wito wangu kwa wasaliti wa nchi hii wanaoshangilia msiba kwamba sasa Magufuli ameondoka watarudi Tanzania na kuanza tena kutumika kuiba rasilimali za nchi hii kama walivyokuwa wanafanya huko nyuma wajue tu kwamba wanapoteza muda.
Watanzania siyo vilaza ,wanajua fika Tundu Lisu aliwatisha kwamba watashitakiwa MIGA ikiwa watabadili sheria za madini.
Tundu Lisu aelewe kuwa hawezi kuwa rais wa Tanzania kwa kushinda Twitter akikejeli kila lililojema kuhusu nchi yetu,
Tundu Lisu kupitia msiba huu atakuwa ameelewa na kupata darasa kwamba ukitaka kupendwa na Watanzania tumikia watanzania na siyo kutumikia Acacia.
 
Nimetafakari sana baada ya tukio la Rais kufia madarakani. Nafasi ya Makamu wa Rais ni lazima ijazwe kwa HEKIMA/BUSARA/ UWEZO na sio UDINI, UKANDA, UKABILA. Katiba yetu imeweka mtego mbaya sana kwamba Rais akifa anayekuwa Rais ni Makamu wa Rais mara moja.

Kama UKANDA/UKABILA/UDINI utaamua VP na sio uwezo basi kuna siku tunaweza kujikuta tuna Rais kama RC Mbeya. Ni muhimu pia kuheshimu UWEZO, hapa simaanishi elimu tu. Prof Kabudi ni zao la utafiti mzuri kuwa elimu bila akili ni sawa na choo bila mlango. CCM amueni kwa ajili ya Nchi.

Godbless Lema.
Wakumbuke kuna wengine wao hawaruhusiwi kufika kwenye nchi za wenyewe wanawaita mabeberu

Taifa Kwanza - utazaa Umoja Upendo Amani ( vilipotea)
Maslahi binafsi italiangamiza Taifa
 
Nimetafakari sana baada ya tukio la Rais kufia madarakani. Nafasi ya Makamu wa Rais ni lazima ijazwe kwa HEKIMA/BUSARA/ UWEZO na sio UDINI, UKANDA, UKABILA. Katiba yetu imeweka mtego mbaya sana kwamba Rais akifa anayekuwa Rais ni Makamu wa Rais mara moja.

Kama UKANDA/UKABILA/UDINI utaamua VP na sio uwezo basi kuna siku tunaweza kujikuta tuna Rais kama RC Mbeya. Ni muhimu pia kuheshimu UWEZO, hapa simaanishi elimu tu. Prof Kabudi ni zao la utafiti mzuri kuwa elimu bila akili ni sawa na choo bila mlango. CCM amueni kwa ajili ya Nchi.

Godbless Lema.
Hoja na lugha uliyotumia ni dhahiri una tatizo la utindio, jisalimishe kwa matibabu
 
KWA HALI HALISI UDINI LAZIMA kwa VP ,maana ukiweka safu yote ya juu dini moja italeta maneno....kigezo cha kwanza Dini then vigezo vingine vifuate....
 
Udini haukwepeki tusipumbazane hapa,kuna watu hawatavumilia kuona safu nzima ya uongozi ni dini moja,muhimu ni kuchagua viongozi wazuri kutoka kwenye dini husika.
 
Back
Top Bottom