Godbless Lema: Makamu wa Rais ni Rais mtarajiwa, CCM amueni kwa busara

Hao viongozi wawili kwenye mifano aliyoitoa wametukanwa vibaya jamani ...🙈🙈🤦‍♂️🤦‍♂️🤦‍♂️😱.
Kwa ngonjera hii nimeamini Lema hana mpango wa kurejea nchini hivi karibuni.
 
Kuanzia sasa mind set ya Makamu wa Rais huko mbeleni katika siasa za Tanzania itabadilika, watajua kuwa kumbe inawezekana!

Usaliti linaweza Kuwa ni jambo la kutilia mashaka huko mbeleni.
 
Huyu jamaa anazidi kuoyesha alikuaga mwizi wa magari...
 
Hayakuhusu.

Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
 
Mnaacha kukomaa mfufue saccos yenu mnakomaa kuishauri ccm, Chadema ndo mna huo ukanda, ukabila, udini. CCM wamemwapisha Mama Samia mmekosa hoja mmehamia kwa makamu was rais ili Baadae mseme CCM WANATEKELEZA SERA ZA SACCOS!
 
L
Godbless lema wewe uliyekua mwizi wa magari usijifanye kushauri jambo ambalo akili huna. Kwanza huna hata uwezo kumwelewa prof kabudi halafu unamtukana. Kwako wewe mtu anayeona wizi wa magari kama ujanja wa maisha ndio utaona anafaa.
 
Of course kwa mtu ambaye hakubahatika kupata elimu kama Lema hawezi kuuona umuhimu wa elimu.
 
Kwani chadema walipoteua lile lafa kugombea urais hawakuayaona hayo? Leo ndo anayaona na kujifanya ni mshauri wa ccm?
Ccm wana jinsi yao ya kufanya maamuzi, hawahitaji ujinga wowote toka kwa lema ili kufanya maamuzi yao. Wameshafanya maamuzi yao ya transition mara nyingi zaidi kuliko chadema, iweje mjinga mchadema ndo awashauri cha kufanya? Pumba tupu!
 
Elimu bila akili sawa na choo bila mlango... GL
Angalieni msije jiaibisha zaidi...
Kuaibika ni kupi:kuaibika ni kumpigania na kumtetea mtu kama Lema,Slaa,Lowasa,Nasari n,k alafu mwisho wa siku anahamia CCM.
 
Sijui atalamba makalio ya nani sasa
 
Kuaibika ni kupi:kuaibika ni kumpigania na kumtetea mtu kama Lema,Slaa,Lowasa,Nasari n,k alafu mwisho wa siku anahamia CCM.
Chocheaneni ujinga mwisho wa siku mimba zitawaumbua... najua una kiwewe kinakuwewesesha ukitulia akili zitarudi kama "msindi wa sele"
 
Bahati mbaya sana huko CCM Hekima, Busara na Uwezo ni bidhaa adimu sana, wanachojua ni bora mtu wao haijalishi ni Chekechea au Darasa la 7 au ana PhD ya jalalani Mradi ana Kadi ya Chama. Ushauri huu mzuri kwa kuwa unatoka kwa Mwanachama wa Upinzani utatupiliwa mbali na kuteua RC wa Mbeya au Musukuma ili Urais urudi kwa mpendwa wao aliyoko mbele ya haki.
 
Hata ndugai huu mwaka haupiti. Maana ndio waliokuwa wakitaka mwenzao atangulie na asiagwe bungeni. Sasa wao wanaondoka na wataagwa bungeni Kama wanavyotaka.

I hope umati wa Jana lazima amepakaa upupu. Let's wait and see it

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…